Gereza la maweni, butimba na lilungu balaa

Gereza la maweni, butimba na lilungu balaa

majosa jr

Member
Joined
Feb 23, 2014
Posts
58
Reaction score
14
Wadau kuna tarifa kuwa magereza tajwa juu ndio magereza yenye kazi ngumu na shuruba kwa wafungwa. Ni kweli wadau?
 
Nenda kituo chochote cha polisi mkate mmoja sikio kama dudubaya watakupeleka bure kwenye hayo magereza ukajionee
 
Back
Top Bottom