Gereza la Ukonga ni 'Maximum Security Prison'. Tuache upotoshaji. Masharti yake ni tofauti na gereza la kawaida kwa manufaa ya pande zote mbili

Ushawahi kumvisit mtu ukonga

Ova
 
Ok hakikisheni Lissu afya yake ni njema msimamieni ale vizuri na afanye mazoezi hasa ya kuruka kichura ili kujenga afya yake.
Hiyo ndiyo mojawapo ya kazi ya Maximum security Prison. Ni kuhakikisha anakula chakula anachopenda lakini kiwe salama. Wanakula chakula hicho pamoja na askali anayemlinda. Gereza lazima lihakikishe sehemu inakotoka chakula hicho ni salama.

Aina hii ya inmates hutunzwa kama VIP kwenye haya magereza. Kila mmoja anapewa chumba chake self contained, hawanyei kwenye madebe kama inmates walioko magereza ya kawaida. Hutembelewa na madaktari mara kwa mara kuhakikisha afya zao kuwa njema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…