Hii ni nadharia tu bro,uhuru upi huo unaouzungumzia,huu wa vijana wa bodaboda kushinda na njaa,au kushindia mahindi ya kuchoma?Hakuna kitu chenya thamani kama Uhai na uhuru wa binadamu,hata upewe kila kitu ila bila uhuru ni kazi bure,
Unaweza kutamani kwenda kufungwa hiyo jela ila baada ya muda fulani utakuja kutambua kwamba uhuru una thamani zaidi kuliko kua jela hata kama ulikua unalala sehemu mbaya Nyumbani kwako.
Gitarama prison in RWANDA[emoji26][emoji116]Norway ni nchi inayofuata demokrasia vyema tu.
Naomba iletwe picha ya ndani ya gereza ya nchi inayoongozwa na dikteta
Jela zao nyingi hazina fencesHakuna kitu chenya thamani kama Uhai na uhuru wa binadamu,hata upewe kila kitu ila bila uhuru ni kazi bure,
Unaweza kutamani kwenda kufungwa hiyo jela ila baada ya muda fulani utakuja kutambua kwamba uhuru una thamani zaidi kuliko kua jela hata kama ulikua unalala sehemu mbaya Nyumbani kwako.
Segerea prison in TANZANIA[emoji116Na vipi ukikamatwa na mzigo hapa hapa Bongo, umejiandaa kwa Segerea? [emoji23][emoji23][emoji23]
Siku ukiswekwa Jela ndio utakuja kutambua thamani ya kua huru,sasa hivi kukuelewesha ni sawa na kumpigia Mbuzi gitaa hawezi kulicheza coz haelewi.Hii ni nadharia tu bro,uhuru upi huo unaouzungumzia,huu wa vijana wa bodaboda kushinda na njaa,au kushindia mahindi ya kuchoma?
Au wa mama ntirie anayetoka mapinga bagamoyo aende posta,anunue samaki,apande daladala,aje akaange,auze ndio alipe ada ya mwanae,wakati huo baba mwenye nyumba anatishia kumtimua kwa kuchelewa kulipa Kodi.
Au uhuru gani huo kijana amemaliza chuo,kazi hakuna,nyumbani manyanyaso,mtu na shahada yake ya Biashara,uhandisi anaishia kuendesha bajaji,
Ukweli mchungu,maisha yao ya jera ni mazuri kuliko maisha ya wasomi wengi hapa bongo.
Hizo hizo nadhanVp Blacks hapo Norway wanafungwa kwenye cell hizo hizo au hiyo ni ya ma don na whites
Hauna connection ya kufika huko?
Wanakurudusha bongo kisongo ukapige stori na jambazi Sa7yaTukupe mzigo uende nao huko, ukikamatwa utaishia hapo! Vipi uko tayari?
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji125][emoji125][emoji125][emoji377][emoji377][emoji377]