Gerezani nchini Norway

Gerezani nchini Norway

Hakuna kitu chenya thamani kama Uhai na uhuru wa binadamu,hata upewe kila kitu ila bila uhuru ni kazi bure,

Unaweza kutamani kwenda kufungwa hiyo jela ila baada ya muda fulani utakuja kutambua kwamba uhuru una thamani zaidi kuliko kua jela hata kama ulikua unalala sehemu mbaya Nyumbani kwako.
Hii ni nadharia tu bro,uhuru upi huo unaouzungumzia,huu wa vijana wa bodaboda kushinda na njaa,au kushindia mahindi ya kuchoma?
Au wa mama ntirie anayetoka mapinga bagamoyo aende posta,anunue samaki,apande daladala,aje akaange,auze ndio alipe ada ya mwanae,wakati huo baba mwenye nyumba anatishia kumtimua kwa kuchelewa kulipa Kodi.
Au uhuru gani huo kijana amemaliza chuo,kazi hakuna,nyumbani manyanyaso,mtu na shahada yake ya Biashara,uhandisi anaishia kuendesha bajaji,
Ukweli mchungu,maisha yao ya jera ni mazuri kuliko maisha ya wasomi wengi hapa bongo.
 
Norway ni nchi inayofuata demokrasia vyema tu.

Naomba iletwe picha ya ndani ya gereza ya nchi inayoongozwa na dikteta
Gitarama prison in RWANDA[emoji26][emoji116]
images-74.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna kitu chenya thamani kama Uhai na uhuru wa binadamu,hata upewe kila kitu ila bila uhuru ni kazi bure,

Unaweza kutamani kwenda kufungwa hiyo jela ila baada ya muda fulani utakuja kutambua kwamba uhuru una thamani zaidi kuliko kua jela hata kama ulikua unalala sehemu mbaya Nyumbani kwako.
Jela zao nyingi hazina fences
 
Kuna tofauti kubwa ya mitazamo ya tafsiri ya adhabu kwenye nchi zilizoendelea na nchi zinazoendelea.......

Nchi zilizoendelea adhabu kubwa kwa mtu ni kumnyima uhuru wa kufanya analolitaka kwa wakati anaoutaka.....hiyo ni adhabu kubwa sana kwa kuwa nchi yake inaweza kumpa kila anachokitaka lakini hana uhuru wa kuvitumia au kuvifikia anavyovitaka...........

Wakati nchi zinazoendelea popote penye upatikaji wa chakula, malazi na mavazi panachukuliwa ni sehemu salama ya kuishi bila kujali mazingira na uhuru wa nafsi ya muhusika.....kwa kuwa kutokana uduni wa maisha yetu dhumuni kuu la maisha yetu ni kula , kulala na kuvaa.....hata HUDUMA za afya si kipaumbele chetu na ndio wengi wetu hatuna bima za afya.......
 
Hii ni nadharia tu bro,uhuru upi huo unaouzungumzia,huu wa vijana wa bodaboda kushinda na njaa,au kushindia mahindi ya kuchoma?
Au wa mama ntirie anayetoka mapinga bagamoyo aende posta,anunue samaki,apande daladala,aje akaange,auze ndio alipe ada ya mwanae,wakati huo baba mwenye nyumba anatishia kumtimua kwa kuchelewa kulipa Kodi.
Au uhuru gani huo kijana amemaliza chuo,kazi hakuna,nyumbani manyanyaso,mtu na shahada yake ya Biashara,uhandisi anaishia kuendesha bajaji,
Ukweli mchungu,maisha yao ya jera ni mazuri kuliko maisha ya wasomi wengi hapa bongo.
Siku ukiswekwa Jela ndio utakuja kutambua thamani ya kua huru,sasa hivi kukuelewesha ni sawa na kumpigia Mbuzi gitaa hawezi kulicheza coz haelewi.
 
Tukupe mzigo uende nao huko, ukikamatwa utaishia hapo! Vipi uko tayari?
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji125][emoji125][emoji125][emoji377][emoji377][emoji377]
Wanakurudusha bongo kisongo ukapige stori na jambazi Sa7ya
 
Kuna hadi kafriji jamaa langu[emoji1787][emoji1787]
 
Jela zote duniani zinaendana na maisha halisi ya mtaani, ukiona kitaa kugumu basi jela ndio zaidi
 
Back
Top Bottom