Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 11,253
- 15,070
Wivu na husuda vinakusumbua ingekuwa marekani kasifiwa hivo meno yote 32 njee..Sifa anazopewa Iran na uhalisia wa mambo ni mbingu na nchi
Nani aliye omba vita visimameAma kweli mahaba ni upofu eti kwamba mpaka leo wanamtishia kwani walichokifanya kwenye vita ya siku 12 walikuwa wanacheza kombolela au?
Hata uongee ukweli vipi wajukuu wa Shetaninyau huku Manyovu Kigoma watakupinga tu aisee.Ujumbe ndio huo German and British intelligence, Iran Haiwezekani Kushindwa Vitu sababu hata ushambulie vipi wanauwezo wa kuendelea kutengeneza Hypersonic Missiles.
View: https://youtu.be/YXakMdE7HBw?si=Q5Snggh94ExijJuF
Iran ndiyo iloyoomba bita ikome. Ujumbe ulioongozwa na waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ulienda Umoja wa Ulaya kuwataka wailazimishe Israel kukomesha vita. Nchi za Ulaya ziliwrka wazi kuwa ni Marekani pekee ndiyo yenye uwezo wa kuiambia Israel isimamishe vita, ikasikiliza. Umoha wa Ulaya waliongea na Trump. Trump akaongea na Iran, na kisha kuwataka Israel wasimamishe mashambulizi. Israel ilirudisha ndege zake zilizokuwa tayari angani kwenda kuishambulia Iran.Nani aliye omba vita visimame
Wazungu wanampa sifa, mwafrika anazikataa hizo sifa🤣🤣🤣🤣🤣🤣Sifa anazopewa Iran na uhalisia wa mambo ni mbingu na nchi
Alisikika kiazi mmoja akisemaIran ndiyo iloyoomba bita ikome. Ujumbe ulioongozwa na waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ulienda Umoja wa Ulaya kuwataka wailazimishe Israel kukomesha vita. Nchi za Ulaya ziliwrka wazi kuwa ni Marekani pekee ndiyo yenye uwezo wa kuiambia Israel isimamishe vita, ikasikiliza. Umoha wa Ulaya waliongea na Trump. Trump akaongea na Iran, na kisha kuwataka Israel wasimamishe mashambulizi. Israel ilirudisha ndege zake zilizokuwa tayari angani kwenda kuishambulia Iran.
Ila wapo wajinga ambao hupenda kuongea yanayofurahisha nafsi zao, wanasema Marekani iliiomba Iran kusimamisha vita, wakati Trump hakuiomba Iran kusimamisha vita bali aliiamuru Iran kusimamisha vita mara moja, na akawaahidi kuwa atailazimisha Israel nayo kusimamisha mashambulizi. Iran ikakubali mara moja, na Israel ikaridhia. Kama Iran ingekuwa na ubavu wa kuipiga Israel isingekubali kusimamisha vita mara moja kwa sababu yenyewe ndiyo iliyokuwa imepigwa vibaya, na kuingia hasara kubwa, ikiwemo kupoteza karibia makamanda wote wa juu na wataalam wa nuclear. Mashambulizi ya Iran nchini Israel yaliua watu 28, lakini mashambulizi ya Israel nchini Iran yaliua watu 1,000+.
Una udugu na shetani wewe kwanin unaongea uongo au unafkiri unaefatilia ishu za vita ni wewe tuu eishiiioIran ndiyo iloyoomba bita ikome. Ujumbe ulioongozwa na waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ulienda Umoja wa Ulaya kuwataka wailazimishe Israel kukomesha vita. Nchi za Ulaya ziliwrka wazi kuwa ni Marekani pekee ndiyo yenye uwezo wa kuiambia Israel isimamishe vita, ikasikiliza. Umoha wa Ulaya waliongea na Trump. Trump akaongea na Iran, na kisha kuwataka Israel wasimamishe mashambulizi. Israel ilirudisha ndege zake zilizokuwa tayari angani kwenda kuishambulia Iran.
Ila wapo wajinga ambao hupenda kuongea yanayofurahisha nafsi zao, wanasema Marekani iliiomba Iran kusimamisha vita, wakati Trump hakuiomba Iran kusimamisha vita bali aliiamuru Iran kusimamisha vita mara moja, na akawaahidi kuwa atailazimisha Israel nayo kusimamisha mashambulizi. Iran ikakubali mara moja, na Israel ikaridhia. Kama Iran ingekuwa na ubavu wa kuipiga Israel isingekubali kusimamisha vita mara moja kwa sababu yenyewe ndiyo iliyokuwa imepigwa vibaya, na kuingia hasara kubwa, ikiwemo kupoteza karibia makamanda wote wa juu na wataalam wa nuclear. Mashambulizi ya Iran nchini Israel yaliua watu 28, lakini mashambulizi ya Israel nchini Iran yaliua watu 1,000+.
Isije ikawa wewe ndio mjingaIran ndiyo iloyoomba bita ikome. Ujumbe ulioongozwa na waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ulienda Umoja wa Ulaya kuwataka wailazimishe Israel kukomesha vita. Nchi za Ulaya ziliwrka wazi kuwa ni Marekani pekee ndiyo yenye uwezo wa kuiambia Israel isimamishe vita, ikasikiliza. Umoha wa Ulaya waliongea na Trump. Trump akaongea na Iran, na kisha kuwataka Israel wasimamishe mashambulizi. Israel ilirudisha ndege zake zilizokuwa tayari angani kwenda kuishambulia Iran.
Ila wapo wajinga ambao hupenda kuongea yanayofurahisha nafsi zao, wanasema Marekani iliiomba Iran kusimamisha vita, wakati Trump hakuiomba Iran kusimamisha vita bali aliiamuru Iran kusimamisha vita mara moja, na akawaahidi kuwa atailazimisha Israel nayo kusimamisha mashambulizi. Iran ikakubali mara moja, na Israel ikaridhia. Kama Iran ingekuwa na ubavu wa kuipiga Israel isingekubali kusimamisha vita mara moja kwa sababu yenyewe ndiyo iliyokuwa imepigwa vibaya, na kuingia hasara kubwa, ikiwemo kupoteza karibia makamanda wote wa juu na wataalam wa nuclear. Mashambulizi ya Iran nchini Israel yaliua watu 28, lakini mashambulizi ya Israel nchini Iran yaliua watu 1,000+.
Hii ni comment bora kabisa hapa jukwaani.Una udugu na shetani wewe kwanin unaongea uongo au unafkiri unaefatilia ishu za vita ni wewe tuu eishiiio
Ni kweli bila shaka wakati wa vita kijana alikuwa chunya anatafuta maji visimani, na ndiomaana ameandika comment alizohadithiwa na wanavijiji wenzake bila kujua kama ni matango pori.Isije ikawa wewe ndio mjinga
Ile vita ya siku 12 ulikuwa unaifuatilia au ulikuwa unahadithiwa au ulikuwa bado upo kwenu Chunya maana watu wanasema mjini shule
We unamsikia Netanyau Sasa hivi anachonga chonga kuhusu Irani?
Baada ya Ile vita kuisha Israel waliwahi kuenda tena na vindege vyao kuvizia kuuwa maofisa?
Hilo jengo la kitivo Cha science la Israel zilitua missile hapo hata panya waliyokuwepo hawakutoka salama
Netanyau alipoenda kuangalia hapo machozi yalimtoka
Broo Iran ingekuwa wanyonge kama Venezuela sahizi Israel na Marekani wangekuwa wameshaingia na kupora Kila kitu kama wanavyoiba mafuta kule Venezuela
Anazingua huyo samaki wa chooniHii ni comment bora kabisa hapa jukwaani.
Ni kweli kabisa. Hivi ndivyo ilivyokuwa.Iran ndiyo iloyoomba bita ikome. Ujumbe ulioongozwa na waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ulienda Umoja wa Ulaya kuwataka wailazimishe Israel kukomesha vita. Nchi za Ulaya ziliwrka wazi kuwa ni Marekani pekee ndiyo yenye uwezo wa kuiambia Israel isimamishe vita, ikasikiliza. Umoha wa Ulaya waliongea na Trump. Trump akaongea na Iran, na kisha kuwataka Israel wasimamishe mashambulizi. Israel ilirudisha ndege zake zilizokuwa tayari angani kwenda kuishambulia Iran.
Ila wapo wajinga ambao hupenda kuongea yanayofurahisha nafsi zao, wanasema Marekani iliiomba Iran kusimamisha vita, wakati Trump hakuiomba Iran kusimamisha vita bali aliiamuru Iran kusimamisha vita mara moja, na akawaahidi kuwa atailazimisha Israel nayo kusimamisha mashambulizi. Iran ikakubali mara moja, na Israel ikaridhia. Kama Iran ingekuwa na ubavu wa kuipiga Israel isingekubali kusimamisha vita mara moja kwa sababu yenyewe ndiyo iliyokuwa imepigwa vibaya, na kuingia hasara kubwa, ikiwemo kupoteza karibia makamanda wote wa juu na wataalam wa nuclear. Mashambulizi ya Iran nchini Israel yaliua watu 28, lakini mashambulizi ya Israel nchini Iran yaliua watu 1,000+.
Alieomba ni Israel kwa kumbembeleza Qatar, Iran akajibu bado si wakati wakuongelea ceasefire, na badaye US akaingilia kati. We uliwahi kuona Israel anaheshimu ceasefire? Ceasefire pekee kaiheshimu ni hio ya Iran.Iran ndiyo iloyoomba bita ikome. Ujumbe ulioongozwa na waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ulienda Umoja wa Ulaya kuwataka wailazimishe Israel kukomesha vita. Nchi za Ulaya ziliwrka wazi kuwa ni Marekani pekee ndiyo yenye uwezo wa kuiambia Israel isimamishe vita, ikasikiliza. Umoha wa Ulaya waliongea na Trump. Trump akaongea na Iran, na kisha kuwataka Israel wasimamishe mashambulizi. Israel ilirudisha ndege zake zilizokuwa tayari angani kwenda kuishambulia Iran.