German Chancellor Angela Merkel Invite Uhuru Kenyatta to Address G20 next month in Berlin

G 20 hapo sasa ndio kuna market yote!! Let him go there and hook massive investiment and market for Kenya
Kenya will always be 100 steps ahead of Tanzania
 
Tutaisoma namba ipi na Tanzania bado mnatulamba matako. Baba wa EAC anajulikana...ni jina lake laanza na K. Work on getting yourself delisted as a LDC first...lol..Ama hata hujui LDC ni nini?..unajua Watanzania ni vichwa maji kabisa [emoji28]
 
Anafikiria kujenga reli ama pipeline ni kama kwenda kununua matomoko sokoni
 

Hawa jamaa wabongo wafitini sana, wanafitini Museveni eti vile Kenya itanufaika na bomba hadi akaingia box, wameenda hadi kupeleka Ethiopia fitina hiyo, ila hawajui PM wa Ethiopia ana akili zaidi, sasa hivi wako Uhuru na yeye wako kule G7, Juzi walikuwa china pamoja!! Vipi hawa jamaa wanaroho za uja uzito?
 
Si ilimbidi rais pombegufuli amlambe Yoweri tako ili wapewe deal... Rais mzima anabembelezana [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Dear Redeemer,
I am sorry to tell you that you are not critical on your arguments. You simply react out of anger and probably because you are not informed enough.
 
electric train ya hewa,when is the construction of the pipeline starting😀😀
 
Kikatoliki sio kirahisi rahisi kama unavyo dhani be careful watch it!
 
Naona unaongea kufurshisha umma, hebu uliza hata wakenya wenzio wanajua kinachoendelea badala ya kuonyesha upumbavu wako hadharani namna hii!
 
Wameona Kenya ni Shamba la bibi. Wakenya kwa kupenda kupanda ndege hutowaweza. Hapo wanaona ujiko mkubwa sana.
 
Naona unaongea kufurshisha umma, hebu uliza hata wakenya wenzio wanajua kinachoendelea badala ya kuonyesha upumbavu wako hadharani namna hii!

Wewe ndiye uko nyuma ya taarifa za nchi yako, Magu alipogombana na Wachina waliokua wanafadhili mradi wa reli, akawafuata Benki Kuu ila wao wakabaki kwenye msimamo wao wa hapo awali kwamba nchi za EAC hazistahili SGR kwa sasa na kinachohitajika ni kuboresha reli iliyopo.
Juzi amemfuata Zuma ili akamuombee hela kutoka kwa Brics Development Bank, japo pia Brics wamepiga kimya na kugomea.
Mikopo huwa haitolewi kiulaini, lazima udhihirishe uwezo wako, tatizo mnaona Kenya ikipewa mikopo mnafikiria vigezo ni kupanga foleni tu na unapokea. Kuna mengi sana yanayozingatiwa.
Soma taariza yote hapa kwa hili gazeti la Uganda Tanzania SGR Hangs in Balance as Gov’t Struggles with Financing | Uganda Today
 
Hivi wewe na akili zako unataka kutuaminisha kuwa waganda ndo wanaweza kujua habari za hapa in and out zaidi yetu sisi wenyewe?

Na wewe uko kwenye mkumbo ule ule, narudia tena, kama !nahitaji kufafanuliwa tena semeni ili turudie, maana nyie hakuna kiwafurahishacho kama habari za umbea kama hizi!

Omba msaada kama una nia ya dhati ya kuelewa, kama unataka ubishi nikuache
 
Usitulaumu kwa akili yako duni. Sawa, mkona funding? How much money has been raised to date? From where? What percentage does that finance the project? Jibu maswali hayo manne halafu tunaweza ongea. Lakini Kama kawaida tunajua Watanzania ni akili duni na hata hawajui ni kuskia wito wa pombefuli. Akisema ny'amba, mnany'amba nyote [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Povu litakuua, au basi nahisi una njaa hujanywa hata chai[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]


Badala ya mimi kukujibu maswali yako ya kipuuzi inabidi wewe ndo uchukue mda wako kujua yafuatayo, ambayo ukiyafahamu basi na majibu ya maswali yako hayatakusumbua!

SGR Inajengwa kwa phase ngapi?
Kila phase inaanzia wapi hadi wapi na umbali wake.
Pesa ya ndani itatumika kiasi gani, phase ipi?
Pesa ya mkopo inategemewa kuwa kiasi gani,

Ukijua haya ni dhahili hata maswali yako ya ovyo hapo juu utajijibu kirahisi kabisa!

Ila nasisitiza tena, badala ya kuwa jeuri, kuwa mpole uombe msaada tukusaidie!
 
msaada? I think you are not aware how msaada works....it comes from the more developed country to the least developed one..in this case, it should be from Kenya to LDC Tz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…