German Chancellor Angela Merkel Invite Uhuru Kenyatta to Address G20 next month in Berlin

G 20 hapo sasa ndio kuna market yote!! Let him go there and hook massive investiment and market for Kenya
get back to me when those projects are actual projects and not dreams!!!!!
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
...ama useme market ya mihogo
emoji23.png
emoji23.png
atleast hio mmeshapata
emoji23.png
emoji23.png

1. When Tz wants to build an oil pipeline, Kenya is already exporting oil next month...
2. When Tz wants to build an electric railway, Kenya's railway, though not electric, has already reached 50 percent completion...financing is all set for the last part......
3. When TZ has Speed kali ya viwanda, Volkswagen, Ashok Leyland, Toyota, etc have already opened industries in Kenya....

should I continue?
emoji23.png
emoji23.png

the point is, Kenya huwa inafanya mambo sio kusema...MoUs mean nothing!!! for example, we signed an MoU in 2009 for a light rail system in Nai but now it is not there yet...sasa usilete projects ambazo hata hazijaanza...zingine hata hazina financing...unafikiri kujenga reli ama pipeline ni shillingi mbili?

should I continue?
emoji23.png
emoji23.png
Kenya will always be 100 steps ahead of Tanzania
 
Ni kwa namna gani Magufuli anaathiri maisha yako ya kila siku hapo Kenya?

Nashangaa Wakenya hapa jf mna chuki za waziwazi na Magufuli lakini sijaona Watanzania wakimchukia Uhuru.

But I got one reason why haters hate

1. Uganda - Tanzania pipeline
2. Electric locomotives
3 . Speed kali ya viwanda

Now am cool ila mtaisoma number
Tutaisoma namba ipi na Tanzania bado mnatulamba matako. Baba wa EAC anajulikana...ni jina lake laanza na K. Work on getting yourself delisted as a LDC first...lol..Ama hata hujui LDC ni nini?..unajua Watanzania ni vichwa maji kabisa [emoji28]
 
get back to me when those projects are actual projects and not dreams!!!!!
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
...ama useme market ya mihogo
emoji23.png
emoji23.png
atleast hio mmeshapata
emoji23.png
emoji23.png

1. When Tz wants to build an oil pipeline, Kenya is already exporting oil next month...
2. When Tz wants to build an electric railway, Kenya's railway, though not electric, has already reached 50 percent completion...financing is all set for the last part......
3. When TZ has Speed kali ya viwanda, Volkswagen, Ashok Leyland, Toyota, etc have already opened industries in Kenya....

should I continue?
emoji23.png
emoji23.png

the point is, Kenya huwa inafanya mambo sio kusema...MoUs mean nothing!!! for example, we signed an MoU in 2009 for a light rail system in Nai but now it is not there yet...sasa usilete projects ambazo hata hazijaanza...zingine hata hazina financing...unafikiri kujenga reli ama pipeline ni shillingi mbili?

should I continue?
emoji23.png
emoji23.png
Anafikiria kujenga reli ama pipeline ni kama kwenda kununua matomoko sokoni
 
Hahahahahahaha....hapa kuna project yenye imekamilika hata kilomita moja tu???? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Inaonekana pombegufuli amewalewesha kabisa. Sisi ni watu wa vitendo. Tz cannot even finance your annual 1.2bnUSD development budget ni reli mtaweza [emoji23] [emoji23] [emoji23] Even if you could finance it, that means no other development project will be take place in tz until its done...lol!!!!! [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]

Halafu electric train which does not even exist will be powered by additional 800MW from Ethiopia whose lines will pass through Kenya

Hawa jamaa wabongo wafitini sana, wanafitini Museveni eti vile Kenya itanufaika na bomba hadi akaingia box, wameenda hadi kupeleka Ethiopia fitina hiyo, ila hawajui PM wa Ethiopia ana akili zaidi, sasa hivi wako Uhuru na yeye wako kule G7, Juzi walikuwa china pamoja!! Vipi hawa jamaa wanaroho za uja uzito?
 
Si ilimbidi rais pombegufuli amlambe Yoweri tako ili wapewe deal... Rais mzima anabembelezana [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Dear Redeemer,
I am sorry to tell you that you are not critical on your arguments. You simply react out of anger and probably because you are not informed enough.
 
Ni kwa namna gani Magufuli anaathiri maisha yako ya kila siku hapo Kenya?

Nashangaa Wakenya hapa jf mna chuki za waziwazi na Magufuli lakini sijaona Watanzania wakimchukia Uhuru.

But I got one reason why haters hate

1. Uganda - Tanzania pipeline
2. Electric locomotives
3 . Speed kali ya viwanda

Now am cool ila mtaisoma number
electric train ya hewa,when is the construction of the pipeline starting😀😀
 
Kikatoliki sio kirahisi rahisi kama unavyo dhani be careful watch it!
 
I hear the chinese withdrew funding and cancelled the financing plan they had made during Kikwete's tenure, citing difficulties working with Magufulu, so magufuli looked west and went to apply loan kwa world bank. The world bank told him labda loan ya ku-repare the old railway. Ameenda hadi Turkey and of late South Africa. Alafu wengine wanafikiria tuko league moja nao.
Naona unaongea kufurshisha umma, hebu uliza hata wakenya wenzio wanajua kinachoendelea badala ya kuonyesha upumbavu wako hadharani namna hii!
 
Wameona Kenya ni Shamba la bibi. Wakenya kwa kupenda kupanda ndege hutowaweza. Hapo wanaona ujiko mkubwa sana.
 
Naona unaongea kufurshisha umma, hebu uliza hata wakenya wenzio wanajua kinachoendelea badala ya kuonyesha upumbavu wako hadharani namna hii!

Wewe ndiye uko nyuma ya taarifa za nchi yako, Magu alipogombana na Wachina waliokua wanafadhili mradi wa reli, akawafuata Benki Kuu ila wao wakabaki kwenye msimamo wao wa hapo awali kwamba nchi za EAC hazistahili SGR kwa sasa na kinachohitajika ni kuboresha reli iliyopo.
Juzi amemfuata Zuma ili akamuombee hela kutoka kwa Brics Development Bank, japo pia Brics wamepiga kimya na kugomea.
Mikopo huwa haitolewi kiulaini, lazima udhihirishe uwezo wako, tatizo mnaona Kenya ikipewa mikopo mnafikiria vigezo ni kupanga foleni tu na unapokea. Kuna mengi sana yanayozingatiwa.
Soma taariza yote hapa kwa hili gazeti la Uganda Tanzania SGR Hangs in Balance as Gov’t Struggles with Financing | Uganda Today
 
Hivi wewe na akili zako unataka kutuaminisha kuwa waganda ndo wanaweza kujua habari za hapa in and out zaidi yetu sisi wenyewe?

Na wewe uko kwenye mkumbo ule ule, narudia tena, kama !nahitaji kufafanuliwa tena semeni ili turudie, maana nyie hakuna kiwafurahishacho kama habari za umbea kama hizi!

Omba msaada kama una nia ya dhati ya kuelewa, kama unataka ubishi nikuache
 
Usitulaumu kwa akili yako duni. Sawa, mkona funding? How much money has been raised to date? From where? What percentage does that finance the project? Jibu maswali hayo manne halafu tunaweza ongea. Lakini Kama kawaida tunajua Watanzania ni akili duni na hata hawajui ni kuskia wito wa pombefuli. Akisema ny'amba, mnany'amba nyote [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Povu litakuua, au basi nahisi una njaa hujanywa hata chai[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Badala ya mimi kukujibu maswali yako ya kipuuzi inabidi wewe ndo uchukue mda wako kujua yafuatayo, ambayo ukiyafahamu basi na majibu ya maswali yako hayatakusumbua!

SGR Inajengwa kwa phase ngapi?
Kila phase inaanzia wapi hadi wapi na umbali wake.
Pesa ya ndani itatumika kiasi gani, phase ipi?
Pesa ya mkopo inategemewa kuwa kiasi gani,

Ukijua haya ni dhahili hata maswali yako ya ovyo hapo juu utajijibu kirahisi kabisa!

Ila nasisitiza tena, badala ya kuwa jeuri, kuwa mpole uombe msaada tukusaidie!
 
msaada? I think you are not aware how msaada works....it comes from the more developed country to the least developed one..in this case, it should be from Kenya to LDC Tz
 
Back
Top Bottom