Ndukidi
JF-Expert Member
- Jun 30, 2012
- 1,499
- 1,297
Uko wapi unauzaje?Wawekee mazingira mazuri yenye joto na hakikisha mama yao ana chakula cha kutosha kwa ajili ya kutengeneza maziwa yake. Inashauriwa ungempatia chakula cha puppy pia huongeza maziwa.
Kuwatunza puppy ni changamoto, though GSD wapo vizuri kwenye uleaji.
Usipocheza na ishu ya mazingira utaambulia puppies wachache.
Mimi nilipata puppies saba and all wapo sawa. Wana 3 months now.
Otherwise hongera and wishing you all the best kuwatunza mkuu.