Uko wapi unauzaje?Wawekee mazingira mazuri yenye joto na hakikisha mama yao ana chakula cha kutosha kwa ajili ya kutengeneza maziwa yake. Inashauriwa ungempatia chakula cha puppy pia huongeza maziwa.
Kuwatunza puppy ni changamoto, though GSD wapo vizuri kwenye uleaji.
Usipocheza na ishu ya mazingira utaambulia puppies wachache.
Mimi nilipata puppies saba and all wapo sawa. Wana 3 months now.
Otherwise hongera and wishing you all the best kuwatunza mkuu.
Anaitwa nobuyukiView attachment 526794 wangu huyo
German Shepherds ni mbwa wazuri sana halafu wana akili sana. Ila gharama za kuwatunza nazo ni kubwa sana labda wewe mwenyewe uwe in Veterinary Doctor halafu unaweza kuwachinjia mbuzi mmoja mmoja kila wiki ili kuwamudu wote nane. Kuwafundisha na kuwatunza, fuatilia ushuri huu hapa www.gsdca.orgNinafurahi sana kupokea taarifa hizi toka home vigerman shepherd 8 vimezaliwa leo nataka nivipe mafunzo ya kikamanda na ulinzi naomba tips za namna ya kuwafundisha ulinzi ikiwezekana kila mmoja niweze kumpangia majukumu yake katika muundo wa nyumba
mm ni mpenzi na mbwa sanahadi shemeji yenu ana lalamika kwamba mapenzi kwa mbwa yamezidi kuliko yeye
Karibuni mafriends wote
Nipo Dar Tegeta. Nauza laki tano mkuu.Uko wapi unauzaje?
Kwenye Huyo mbuzi wanakula nn mifupa tuu au mbuzi mzima?German Shepherds ni mbwa wazuri sana halafu wana akili sana. Ila gharama za kuwatunza nazo ni kubwa sana labda wewe mwenyewe uwe in Veterinary Doctor halafu unaweza kuwachinjia mbuzi mmoja mmoja kila wiki ili kuwamudu wote nane. Kuwafundisha na kuwatunza, fuatilia ushuri huu hapa www.gsdca.org
kamatia picha hizo jamaanguTupia kapicha mkuu
siuziWewe kama mimi. Napenda sana mbwa. Unauza bei gani?
Asante boss wanguWawekee mazingira mazuri yenye joto na hakikisha mama yao ana chakula cha kutosha kwa ajili ya kutengeneza maziwa yake. Inashauriwa ungempatia chakula cha puppy pia huongeza maziwa.
Kuwatunza puppy ni changamoto, though GSD wapo vizuri kwenye uleaji.
Usipocheza na ishu ya mazingira utaambulia puppies wachache.
Mimi nilipata puppies saba and all wapo sawa. Wana 3 months now.
Otherwise hongera and wishing you all the best kuwatunza mkuu.
Ninafurahi sana kupokea taarifa hizi toka home vigerman shepherd 8 vimezaliwa leo nataka nivipe mafunzo ya kikamanda na ulinzi naomba tips za namna ya kuwafundisha ulinzi ikiwezekana kila mmoja niweze kumpangia majukumu yake katika muundo wa nyumba
mm ni mpenzi na mbwa sana hadi shemeji yenu ana lalamika kwamba nampend mbwa kulik yeye
Karibuni mafriends wote
Hao hapo juu makamanda wangu nilikua busy na safari wakulu wangu