German shepherd 8 wamezaliwa leo home kwangu naomba tips za kuwapa mafunzo hatua zake kwa ujumla

Wavutishe bangi mkuu, utwapenda mbona
 
Humu JF tunafanyana matahaira sio? hao mbwa kwenye picha ndio wamezaliwa leo?..mbwa wana miezi 2 hao.halafu hizo picha umezitoa mtandaoni shenzi kabisa wewe.
 
Kuna dogo trainer yupo Dar! Kama utamuhitaji ni PM nikulink naye
 
Hao mbwa mbona background mazingira si ya Tanzania
 
afadhali umemuumbua,jitu kudanganya shjui linafaidika nini.@jitu la miraba minne acha uongo bhana
hio ni sample tu mm nipo safari nimejaibu kuajengea picha muone kwani mama yao yupo copy kabisa nitapofika nitawaletea muonekano halisi
 


Kwa sasa huwezi kuwafundisha kitu kwa kuwa ni vichanga mno.....wape miezi 4 ndipo uanze. Binafsi sipendi Shephard, mimi ni mtu wa Cane Corso, Dogo Argentino, Pitbull, na mbwa wakali wakali ambao kazi yao ni kuua tu.
 
Google upate maelezo ya wenyewe na uzoefu wao.
 
KWA USHAURI NA MAFUNZO BORA JUU YA UFUGAJI WA MBWA WA KISASA. TEMBELEA INSTAGRAM ACCOUNT YENYE JINA LA @King_Dawgz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…