German vs Japan

Sure mzee X5 G05 iyo tena M Power, ya 2019 au 2020 dadeq.
Sikuconsider hizo rangi aiseee G05 M power wameanza kutengeneza mwaka jana....

G05 za kawaida za kawaida ndio walianzia 2018...

Sema hapo itategemea mwenye makosa nani...

Kama ni huyo mwenye huyo mjapani, Suala likifika kwa watu wake wa Bima watamuuliza "You hit what?"
 
😀😀😀😀 nimecheka sana hapo kwenye "You hit what?"
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
SA sio bongo bima wanalipa bila longolongo tena wanampa gari nyingine mpyaa kabisa na hiyo Bm inapelekwa kuuzwa mnadani na makampuni ya used hiyo Hiace sio ya Japan ni za SA wanaziita siyaya zina bati gumu mno..
 
SA hawana gari inatoka Japan hawaruhusu kwa sababu ya kulinda viwanda vyao ila wanatengeneza gari nyingi za Toyota kama za Japan...na port yao ya Durban inayopokea gari kutoka Japan ni kwa ajili ya export tuu hayaruhusiwi pale ila unaweza kusajili kwa kutumia vibali vya nchi nyingine pale unaitumia tuu..wengine wanapachika namba za malawi,Zambia maisha yanaendelea ila zinaibiwa mno maana zinakua hazipo kwenye mfumo wa ulinzi wa gari za SA Polisi ...
 
Sidhani.

Hasa wakitengeneza mafundi wa kwenye hizo dealerships. Wanatoa vifaa vilivyoharibika wanaweka vipya.

Ikitoka hapo utadhani imetoka kiwandani.

Ila ukipeleka kwa mafundi wa chini ya mwembe ndo utajua hujui.
Ukipeleka kwa wenyewe sawa ila hawa mafundi wetu wa makumbusho tayari unakuwa umetia dosari
 
Hii imetokea SA pia.

Abiria na dereva wa hiyo hiace wamekimbia msala.
 
Kuna gari ukizigonga ni either ukimbie au uanze kuruka sarakasi kama yule jamaa muosha magari aliyepiga mzinga na ford ranger ili wakuite kichaa😁
 
Ukipeleka kwa wenyewe sawa ila hawa mafundi wetu wa makumbusho tayari unakuwa umetia dosari
Ndinga kama hiyo ukipeleka chini ya muembe utakuwa haupo serious.

Kuna jamaa ni fundi kwenye dealership ya toyota tz. Yeye anakwambia ukileta gari yako kwa service, utapaleka wakubadilishie kifaa kimoja ila wanaweza badili mfumo mzima.

Wanafanyia kazi diagnosis report inayotoka.

Na wao wanaweka kipya hawana kuungaunga.

Ndo maana bill zao zimesimamia kucha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…