German vs Japan

German vs Japan

Ndinga kama hiyo ukipeleka chini ya muembe utakuwa haupo serious.

Kuna jamaa ni fundi kwenye dealership ya toyota tz. Yeye anakwambia ukileta gari yako kwa service, utapaleka wakubadilishie kifaa kimoja ila wanaweza badili mfumo mzima.

Wanafanyia kazi diagnosis report inayotoka.

Na wao wanaweka kipya hawana kuungaunga.

Ndo maana bill zao zimesimamia kucha.
Wengi huku wanakimbilia kununua magari bila kuwa na power ya kuhudumia. Dawa ni kununua gari mpya kabisa yenye muda wa matumizi na services
 
Back
Top Bottom