Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,743
Wengi huku wanakimbilia kununua magari bila kuwa na power ya kuhudumia. Dawa ni kununua gari mpya kabisa yenye muda wa matumizi na servicesNdinga kama hiyo ukipeleka chini ya muembe utakuwa haupo serious.
Kuna jamaa ni fundi kwenye dealership ya toyota tz. Yeye anakwambia ukileta gari yako kwa service, utapaleka wakubadilishie kifaa kimoja ila wanaweza badili mfumo mzima.
Wanafanyia kazi diagnosis report inayotoka.
Na wao wanaweka kipya hawana kuungaunga.
Ndo maana bill zao zimesimamia kucha.
Mtu ananunua Audi au Benz ila anaitunza kama anavyotunza spacio au rav 4 yake.Wengi huku wanakimbilia kununua magari bila kuwa na power ya kuhudumia. Dawa ni kununua gari mpya kabisa yenye muda wa matumizi na services
[emoji2][emoji2][emoji2] eti hadi abiria wamekimbia.
Mbali na yote spare parts za magari south Africa nicheap sana sio Kwa gari za kizungu ama za kijapaniYou hit a BMW? You can’t be serious bruhv
Broo Bavaria hiz taarifa umezitoa wap kuwa jamaa walifungua turbo,