Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi ndiyo ma Sargent walivaa viliitwa patis. Wale wa juu ni senior officers.
Huyu wa chini umeona viatu vyake? Ukikatwa na chupa shauri yako.
Washenzi sana, Nyerere kamaliza elimu ya sekondari akiwa haruhusiwi kuvaa viatu shuleni.Ila wazungu walianza dharau zamani sana kwa waafrica eti bin dada,,,?
Hao wote si askari wa DOA (Deutsch-Ostafrika; unapenda picha za historia lkn hujui historia, kaka). Hao wa juu ni askari Waafrika pale Ulaya (ona nguo zao! Utavaa wapi Afrika??) Umbo la kofia unaonyesha ni Wafaransa, watakuwa wa Afrika ya Magharibi hasa Senegal.