Germany vs France: EURO 2016 Semi-final (LIVE Updates)

Nasubiri final kumuona Ronaldo anavyomwaga chozi, teh! teh!

Ronaldo alie tu... he is good, but his team mates uki compare na FRANCE hawezi shinda.. hali ni ngumu mno kwa Portugal.. duuuh... huu mziki wa leo, Ronaldo anaumwa saa hizi..!! mmmhh
 
Katika mechi kumi za mwisho za kimataifa kati ya France na Portugal, France kashinda zote.

Na ukiangalia takwimu za EURO ya mwaka huu utakubaliana na mimi kwamba Portugal hawana chao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…