Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongeraaaa... You chose predictably..Team France
hahahahaha unakumbuka waliwafunga Marekani,Joachim low v/s Jürgen Klinsmann
Pole sana mkuu,kunywa maziwa hapo nyongo zipungue!Daah, matokeo ya usiku huu yameniumiza sana.
Wer hat so scheiße gemacht, und dass ist nicht deutschMkuu kwa chini hapo ndio hachokagi kwa kidachi?
France,ila humu watu wananikatisha tamaaPoleeee sasa kwenye final game, chama yako ni ipi? Au bado una usongo Zaza mruka kama chura? lol!
Aisee Ujeruman kapigwa. Goli la pili ni uzembe wao kuleta ujuaji eneo la hatariWer hat so scheiße gemacht, und dass ist nicht deutsch
Asante mkuu.!Hongeraaaa... You chose predictably..
Umeamini sina nuksi ya kipindi kile cha Brazika 2014.!? Hahahahouiiiiiiiiiiiiiiiiii,katavi nalia hapa ujuwe,wewe nani kakuambia utaje team?hahahahaha nimekumbuka Brazika 2014
Ahaaa mimi natumia ipod humu ni kubadilisha lugha tu ila kwenye keyboard sijui labda kama kuna wajuziAisee Ujeruman kapigwa. Goli la pili ni uzembe wao kuleta ujuaji eneo la hatari
Mkuu hilo neno la Kijerumani, hiyo herufi mbona siioni kwenye KEYBOARD? unaipataje?
Hongera kwa kuingia fainali mtani mimi nitakuwa mtizamajiUmeamini sina nuksi ya kipindi kile cha Brazika 2014.!? Hahahah
Nimeamini mkuuUmeamini sina nuksi ya kipindi kile cha Brazika 2014.!? Hahahah