Germany vs France: EURO 2016 Semi-final (LIVE Updates)

Germany vs France: EURO 2016 Semi-final (LIVE Updates)

5348.jpg
 
hahahahaha unakumbuka waliwafunga Marekani,Joachim low v/s Jürgen Klinsmann

Sijali sana kama waliwafunga Marekani. Marekani kwenye soka hata wakifungwa na Ujerumani ni jambo la kutegemewa.

Lakini walipowafunga Brasil 7-1....daaah!
 
Daah, matokeo ya usiku huu yameniumiza sana.
 
Kama kawa chama halijaniangusha, ila hofu yangu tu ureno asilipize kisasi cha 2004, n fainal kama kawa poga matuidi, kante ngolo asihusike kuwapa nafasi kina pogba, ila kama akitaka aanzw na ngolo kante kwa kuhold team basi bora amtoe kafara kati ya pogba au matuidi.. Ni sumu kuchezesha pogba kulia, matuidi kushoto..

Nakosa maneno halisi ya kumzngumzia griezmann, anafanya vitu vigumu kuwa rahisi, sijui siri ya mguu wa kushoto ni nini hasa kwenye boli. Kasoro giroud tu. Wenger alimkosa kizembe sasa hiv ni moto wa kuotea mbali.. Baada ya hizi tuzo kuisha ufalme wa messi na ronaldo namtabiria zake 2.

Good game, kati ya tofauti nying za wachezaj wa kizungu n wa kiafrika, wazungu kwenye timu ya taifa kama wamekunywa supu ya bendera, soka analopiga ozil national team, sijawahi kuliona arsenal, soka la toni kroos usiku huu hata madrid hakichafui vile labda kroos wa bayern munich.. Pongezi na pole ziende kwa mashabiki wa ujeruman

Chama france tunasonga mbele
 
......Mfaransa akiandaa hakubali hasara..
...Mfaransa aliandaa Euro 1984 akachukua, akaandaa World Cup 1998 akachukua....ameandaa Euro 2016... Malizia..!!!!!
 
Just follow your heart, don't pay attention to what others are saying. France baby!


QUOTE="Victoire, post: 16777472, member: 11226"]France,ila humu watu wananikatisha tamaa[/QUOTE]
 
Wer hat so scheiße gemacht, und dass ist nicht deutsch
Aisee Ujeruman kapigwa. Goli la pili ni uzembe wao kuleta ujuaji eneo la hatari


Mkuu hilo neno la Kijerumani, hiyo herufi mbona siioni kwenye KEYBOARD? unaipataje?
 
Aisee Ujeruman kapigwa. Goli la pili ni uzembe wao kuleta ujuaji eneo la hatari


Mkuu hilo neno la Kijerumani, hiyo herufi mbona siioni kwenye KEYBOARD? unaipataje?
Ahaaa mimi natumia ipod humu ni kubadilisha lugha tu ila kwenye keyboard sijui labda kama kuna wajuzi
 
Yaani kama ipo ipo tu Hugo kafanya saves za maana tu ukija evra na sagna kama wana miaka 20 ule mkoba wa arsenal kama sio yeye mtu wa tegeta(boko)katulia tuli umtiti hana uzoefu wa games hizi lakini shughuli imeonekana sissokho yule wa new castle kama sio yeye alieshiriki kuipeleka championship hata giroud pamoja na mapungufu yake tunayoyajua ila haijambo kuna vitu viwili vitatu anafanya.
Si mshabiki wa France ila ukweli ndoo yao labda itokee tu.
 
upload_2016-7-8_8-39-11.png

GERMANY 0-2 FRANCE - IAN LADYMAN AT STADE VELODROME: The Germans always find a way to get it done, don't they? Not this time. Here at a frenzied Stade Velodrome, the serial achievers of European football found a way to get it desperately and dramatically wrong. France are in their own final in Paris on Sunday. It's a great story but it doesn't tell the story of this remarkable game. Germany were the better team for much of it. They controlled the play and the tempo and for just about the whole of the first half they looked the more likely winners.
 
Hiyo inaitwa Kampa ... Kampa....Kampa tena!
 
Back
Top Bottom