Financial Analyst
JF-Expert Member
- Nov 27, 2017
- 1,849
- 3,506
Kwani John Terry alikuwaga midfielder??au hapo hujaelewa jamaa alichouliza??Daaah hapo umemuacha JT yaani John Terry, hii miamba kuiwekea Viwango ni Ngumu sana. Lkn kwangu Lampard ni mdogo wao
Kutoka kwa shabiki kindaki ndaki wa livapul1.Gerrard
2.Gerrard
3. Scholes
WATANZANIA HUWA WANAKURUPUKA SANA MKUU MTU HAJAELEWA ANAKIMBILIA KUJIBUKwani John Terry alikuwaga midfielder??au hapo hujaelewa jamaa alichouliza??
Daaah hapo umemuacha JT yaani John Terry, hii miamba kuiwekea Viwango ni Ngumu sana. Lkn kwangu Lampard ni mdogo wao
1.ScholesHawa ni miongoni mwa the best midfielders katika soccer kuwahi kutokea duniani.
Over the years kumekuwa na arguments zisizo isha nani ni bora kuliko mwingine.
So, bila ushabiki wa timu au mchezaji husika,
Yupi ni wa kwanza, yupi ni wa pili na yupi wa tatu katika ubora?
Kiuhalisia hakuana kiungo alimkutia Paul Scholes.. hata akina iniesta na xavi walimbulia kofia.Hawa ni miongoni mwa the best midfielders katika soccer kuwahi kutokea duniani.
Over the years kumekuwa na arguments zisizo isha nani ni bora kuliko mwingine.
So, bila ushabiki wa timu au mchezaji husika,
Yupi ni wa kwanza, yupi ni wa pili na yupi wa tatu katika ubora?
Huyo ni Xavi!Hawa ni miongoni mwa the best midfielders katika soccer kuwahi kutokea duniani.
Over the years kumekuwa na arguments zisizo isha nani ni bora kuliko mwingine.
So, bila ushabiki wa timu au mchezaji husika,
Yupi ni wa kwanza, yupi ni wa pili na yupi wa tatu katika ubora?
Huyu ni iniesta..Hawa ni miongoni mwa the best midfielders katika soccer kuwahi kutokea duniani.