mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Hawa siyo! Ni kweli ni viungo wazuri Sana lakini umemwacha aliye mzuri Sana kuliko hao watatu. Alikuwa anachezea Arsenal na kwa Sasa ni kocha wa Crystal Palace anaitwa VIERA!!!Hawa ni miongoni mwa the best midfielders katika soccer kuwahi kutokea duniani.
Over the years kumekuwa na arguments zisizo isha nani ni bora kuliko mwingine.
So, bila ushabiki wa timu au mchezaji husika,
Yupi ni wa kwanza, yupi ni wa pili na yupi wa tatu katika ubora?