GERRARD vs SCHOLES vs LAMPARD, yupi ni 1, 2 na 3?

GERRARD vs SCHOLES vs LAMPARD, yupi ni 1, 2 na 3?

Hawa ni miongoni mwa the best midfielders katika soccer kuwahi kutokea duniani.

Over the years kumekuwa na arguments zisizo isha nani ni bora kuliko mwingine.

So, bila ushabiki wa timu au mchezaji husika,
Yupi ni wa kwanza, yupi ni wa pili na yupi wa tatu katika ubora?
Hawa siyo! Ni kweli ni viungo wazuri Sana lakini umemwacha aliye mzuri Sana kuliko hao watatu. Alikuwa anachezea Arsenal na kwa Sasa ni kocha wa Crystal Palace anaitwa VIERA!!!
 
Schooles kiungo mwenye futi tano nanusu, hajatokea kiungo mwenye uwezo kama yeye Kwa muda mrefu.
Changanya uwezo wa Ngolo Kante na Bruno Fernandez weka determination ya Scott Mc Tominay apo utapata package Moja ya Paul scoles.
 
Mpaka Sasa Viera hajapata mpinzani kwenye nafasi ya kiungo EPL! Viera ni kiungo Bora wa muda wote epl Hadi Sasa! Alikuwa anakipiga arsenal na kwa Sasa ni kocha wa Crystal Palace!
 
Mpaka Sasa Viera hajapata mpinzani kwenye nafasi ya kiungo EPL! Viera ni kiungo Bora wa muda wote epl Hadi Sasa! Alikuwa anakipiga arsenal na kwa Sasa ni kocha wa Crystal Palace!
Tutolee ujinga wako hapa tunaongelea vitu vya maana ww unaleta utopolo
 
Hawa ni miongoni mwa the best midfielders katika soccer kuwahi kutokea duniani.

Over the years kumekuwa na arguments zisizo isha nani ni bora kuliko mwingine.

So, bila ushabiki wa timu au mchezaji husika,
Yupi ni wa kwanza, yupi ni wa pili na yupi wa tatu katika ubora?
Scholes
 
1. Paul schools alikuwa na mfanano na viungo wa kihispania kabisa wale mafundi sana.
2. Steven G- alikuwa anatumia nguvu sana ule mpira ambao akili kidogo nguvu za kutosha mzee wa vita vitani
3.Lampard alikuwa aina ya viungo wa uingereza ambao akili kidogo nguvu na kufunga sana magoli,hata penati zake zote zilikuwa ni mashuti makali alikuwa harembi eti kupiga kiufundi.
 
Hawa siyo! Ni kweli ni viungo wazuri Sana lakini umemwacha aliye mzuri Sana kuliko hao watatu. Alikuwa anachezea Arsenal na kwa Sasa ni kocha wa Crystal Palace anaitwa VIERA!!!
Acha wanaojua mpira wajadili mambo ya maana wewe unaweza kushabikia hata rede.
 
Super Frank alikuwa mzee wa basic football akipata mpira ni touch 1.2.3 anapiga pass

Kabla haja pata mpira huwa anaangalia kulia kushoto ,nyuma ,mbele yuko nani karibu yake na ku calculate risk ana profit hapo hapo.

Hakuwa na mbwe mbewe sana

Na nyavu kafunga sana ndio all times leading scorer pale chelsea japo ni kiungo.

Gerrard alikuwa mapafu ya mbwa na spirit ya upambanaji hachoki kabisa ni mfano bora wa caprain wa timu

Scholesy! Mkata umeme bora sana pale UK anafunga rare goal.

Hakuwa na makuu wala mbwembwe za uwanja

Naweza sema skulz ni moja ga wanafunzi watiifu kabisa wa sir Alex Ferguson.

Ilukiwa tabu sana kuwapanga timu ya Taifa hawa watu uwanjani hasa wote wakiwa na ubora wao.

Ila mimi nitakwenda na lampaard sababu anakupa vyote unavyotaka uwanja kwa asilimia kubwa

Anafunga,anachezesha,anakaba,ana motivate timu. anakupa vyote kwa asilimia kubwa kubwa
 
Back
Top Bottom