Kati ya hao watatu ni Scholes all the way. Alicheza wakati Man Utd walikuwa na masuper stars lakini alishine except mechi moja dhidi ya Derby City - he was absolutely terrible, Furguson akamtoa mapema. Nimekuja kujua wiki chache zilizopita kuwa alikuwa na tatizo la kifamilia siku ya mechi. Ndiyo siku ambayo mtoto wake alikuwa diagnosed na autism.
Lampard - alishine b'se Makelele na Essien did all the dirty work for him. Bila wao asingefunga magoli mengi hivyo. Hakuwa gifted player but his hard work paid.
Gerrard - maestro, a leader and inspirational. Mie napenda kumweka kwenye group la kina Pactrick Vieira na Roy Keane due to their leadership. Alivuma kipindi ambacho Liverpool ilikuwa mbovu mpaka walipokuja akina Torres na Suarez. Maybe angechezea Liverpool ya leo angekuwa wa kawaida.
But hii debate ya Scholes, Lampard na Gerrard ignores top midfilders who dominated the centre of the park. Sijui kwa vile ni Waingereza. Watu kama Roy Keane, Patrick Vieira, Xabi Alonso, Yaya Toure, Makelele, Febragas and David Silva.
For me I will stick with Pactrick Vieira and Roy Keane. Siku hizi wanasikitika sana kuona jinsi timu zao zilivyokuwa laini laini kama paja la mwanamke.