GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Simba mlinunua lifrijiMwana Yanga SC Gerson Msigwa ( Katibu Mkuu Wizara ya Sanaa, Utamaduni na Michezo ) ameishtaki Klabu yake pendwa ya Yanga SC TFF na kuitaka haraka sana ilipe Mamilioni ya Shilingi kutokana na Mashabiki wa Yanga SC kwa makusudi kabisa kuharibu Miundombinu ya Uwanja wa Benjamin Mkapa uliofanyiwa marekebisho makubwa na Serikali huku Klabu ya Simba nayo ikigharamia eneo la Ununuzi wa Samani zinazotumika sasa Uwanjani hapo.
Chanzo: Spoti Leo Radio One
Kazi ipo......!!
Hili Ndo jambo la msingi nimeona amelifanya Tangu ameanza kuwa Kiongozi wa Nchi hii..Mwana Yanga SC Gerson Msigwa ( Katibu Mkuu Wizara ya Sanaa, Utamaduni na Michezo ) ameishtaki Klabu yake pendwa ya Yanga SC TFF na kuitaka haraka sana ilipe Mamilioni ya Shilingi kutokana na Mashabiki wa Yanga SC kwa makusudi kabisa kuharibu Miundombinu ya Uwanja wa Benjamin Mkapa uliofanyiwa marekebisho makubwa na Serikali huku Klabu ya Simba nayo ikigharamia eneo la Ununuzi wa Samani zinazotumika sasa Uwanjani hapo.
Chanzo: Spoti Leo Radio One
Kazi ipo......!!
Uto hawajawahi kuwa na akiliWalijua wanaikomesha Simba...
Hili n tatizo suguSema Watanzania wengi Mali ya Umma wanaona kama sio Mali yao wapo radhi hata kuharibu tu bila sababu zozote..
Ukute ni mpango wa mashabiki wa Simba kuiharibia YangaMwana Yanga SC Gerson Msigwa (Katibu Mkuu Wizara ya Sanaa, Utamaduni na Michezo) ameishtaki Klabu yake pendwa ya Yanga SC TFF na kuitaka haraka sana ilipe Mamilioni ya Shilingi kutokana na Mashabiki wa Yanga SC kwa makusudi kabisa kuharibu Miundombinu ya Uwanja wa Benjamin Mkapa uliofanyiwa marekebisho makubwa na Serikali huku Klabu ya Simba nayo ikigharamia eneo la Ununuzi wa Samani zinazotumika sasa Uwanjani hapo.
Chanzo: Spoti Leo Radio One
Kazi ipo......!!
Wakati nasoma udom vyoo vilikuwa vinaziba unakuta mtu kumbe alitupa tshirt. Yani watanzania ni waharibifu. Mtu anaiba chuma cha reli akauze kwenye vyuma chakavu hajali kitakachotokeaSema Watanzania wengi Mali ya Umma wanaona kama sio Mali yao wapo radhi hata kuharibu tu bila sababu zozote..
Hata Serikali Yenyewe Ipo Namna HiyoSema Watanzania wengi Mali ya Umma wanaona kama sio Mali yao wapo radhi hata kuharibu tu bila sababu zozote..
Simba hawahusiki na utopolo wenuUkute ni mpango wa mashabiki wa simba kuiharibia yanga
Mrs zakayoZakayo
Serikali ni Watanzania ndio maana nimeweka kwa ujumla wetu wao si wanaiba hela za kodi kwa ununuzi wa vitu vya kijinga visivyofanana na thamani wanaweka bei za ajabu ajabu tu..hao Toyota wanatushangaa tunaipiga Nchi kwa kujipa bei ambayo haipo kwenye viete..Hata Serikali Yenyewe Ipo Namna Hiyo
Wanawaiga wanaoiba hela za miradi hawajatofautiana kabisa hata ukiwaangalia kwenye vikao unaona wengi wanaangalia mazingira ya kuiba fedha za Umma na si kutaka fedha ya umma ifanye kazi inayotakiwa ndio maana miaka nenda rudi tupo na mambo ya matundu ya vyoo mara madarasa pana shule ukipata picha utadhani zipo Msumbiji kumbe zipo hapa hapa penye kiongozi wao mwenye Viete watoto wanakaa chini...Wakati nasoma udom vyoo vilikuwa vinaziba unakuta mtu kumbe alitupa tshirt. Yani watanzania ni waharibifu. Mtu anaiba chuma cha reli akauze kwenye vyuma chakavu hajali kitakachotokea