Umeua kweli. Mtu anapga ela barabra inajengwa chini ya kiwango mashomo baada ya miezi 3 ajali kama kawa na kuharibu vyombo vyetu. UmeuaWanawaiga wanaoiba hela za miradi hawajatofautiana kabisa hata ukiwaangalia kwenye vikao unaona wengi wanaangalia mazingira ya kuiba fedha za Umma na si kutaka fedha ya umma ifanye kazi inayotakiwa ndio maana miaka nenda rudi tupo na mambo ya matundu ya vyoo mara madarasa pana shule ukipata picha utadhani zipo Msumbiji kumbe zipo hapa hapa penye kiongozi wao mwenye Viete watoto wanakaa chini...
Waopiga hela za miradi wanawashangaa waoharibu miundombinu taarifa ya CAG kama vile hawaioni wapo kimya mno...Umeua kweli. Mtu anapga ela barabra inajengwa chini ya kiwango mashomo baada ya miezi 3 ajali kama kawa na kuharibu vyombo vyetu. Umeua
Ile match ya kimataifa iliyoihusisha Yanga,so pale chochote kitachotokea kitaihusisha Yanga iliyokua mwenyeji,iko ndio kilichoiadhibu Yanga ila waliofanya ule uharibifu wanajulikanaUkute ni mpango wa mashabiki wa Simba kuiharibia Yanga
Ila hii nchi bwana. Taarifa ya CAG imepita tu na mwakani utaona wakina msukuma wanaongea tena kwa uchungu full maigizoWaopiga hela za miradi wanawashangaa waoharibu miundombinu taarifa ya CAG kama vile hawaioni wapo kimya mno...
Siungi mkono uharibifu wa uwanja, lakini kwamba uwanja wa Mkapa umekarabitwa kwa mabilioni sidhani kama ni kweli. Nilienda hapo siku mbili kabla ya mechi ya Simba na Yanga. Kama mnaouita ukarabati mkubwa ndio ule basi Watanzania tuna matatizo ya akili. Sikuona CHOCHOTE kilichokarabatiwa au kubadilishwa. Viti chakavu uwanja mzima, sehemu za kupigwa rangi hazijapakwa rangi mpya, vyoo vichafu kama zamani na mengine mengi. Nakumbuka siku hiyo mvua ilinyesha, niliingia ofisi mojawapo hapo hapo uwanjani nikakuta inavuja mpaka wameweka ndoo katikati ya ofisi kukinga maji yanayovuja. Halafu tunaambiwa ukarabati wa mabilioni umefanyika. Kwa kweli nilijiuliza nchi hii ina matatizo gani?Mwana Yanga SC Gerson Msigwa (Katibu Mkuu Wizara ya Sanaa, Utamaduni na Michezo) ameishtaki Klabu yake pendwa ya Yanga SC TFF na kuitaka haraka sana ilipe Mamilioni ya Shilingi kutokana na Mashabiki wa Yanga SC kwa makusudi kabisa kuharibu Miundombinu ya Uwanja wa Benjamin Mkapa uliofanyiwa marekebisho makubwa na Serikali huku Klabu ya Simba nayo ikigharamia eneo la Ununuzi wa Samani zinazotumika sasa Uwanjani hapo.
Chanzo: Spoti Leo Radio One
Kazi ipo......!!
Jimmy atawachangisha pesa ndio akili zenu zinapo fika ukomo.Ile Video illionyesha wanaoharibu ni Ndunduka
Wanasema wameweka CCTV camera lakini wanashindwa kuwatambua wahalifu kwa sura zaoSiungi mkono uharibifu wa uwanja, lakini kwamba uwanja wa Mkapa umekarabitwa kwa mabilioni sidhani kama ni kweli. Nilienda hapo siku mbili kabla ya mechi ya Simba na Yanga. Kama mnaouita ukarabati mkubwa ndio ule basi Watanzania tuna matatizo ya akili. Sikuona CHOCHOTE kilichokarabatiwa au kubadilishwa. Viti chakavu uwanja mzima, sehemu za kupigwa rangi hazijapakwa rangi mpya, vyoo vichafu kama zamani na mengine mengi. Nakumbuka siku hiyo mvua ilinyesha, niliingia ofisi mojawapo hapo hapo uwanjani nikakuta inavuja mpaka wameweka ndoo katikati ya ofisi kukinga maji yanayovuja. Halafu tunaambiwa ukarabati wa mabilioni umefanyika. Kwa kweli nilijiuliza nchi hii ina matatizo gani?
Hakika