Juni 8, 2026, Ukurasa wa Instagram 'switch Tv ke' ilichapisha taarifa orodha ya watengeneza maudhui wa Kenya kama vile Mjaka Mfine, Mokaya, na Malcolm kupigwa marufuku kuingia Tanzania na Zanzibar kufuatia vichekesho (skits) wanavyotengeneza kuhusu Rais wa Tanzania.
Leo Juni 10, 2026, Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa kupitia ukurasa wake wa Instagram amechapisha kuwa Taarifa hizo ni Potoshi
"Hakuna zuio la aina hiyo kwa watengeneza maudhui hawa wala wengine wowote kutoka nchi yoyote duniani, Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inafanya kazi kwa karibu na watengeneza maudhui wote na Tanzania inawakaribisha nchini. Habari hii imepotoshwa na ina nia yakutengeneza taharuki".