Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,314
- 93,919
Mpaka pale Bunge Litakapopiga Kura Rasimi , ndio atakuja kusema 'wale ni mabeberu, tutaendesha NCHI kwa Kodi zetu'.
Jamaa alivyo , Utetezi wake kwa Hatua ambazo MAREKANI na Ulaya wamekua wanazichukua ni ule ule 'Huo sio Uamuzi wa Mwisho'".
JAMBO LA MUDA, ni kua Wàmerekan na Ulaya, Kila jambo lao Huwa liko kwenye Muda wake na Ratiba yake, ila HAKIKA NI KUA VIKWAZO, NA KUSITISHA MISAADA ,VYAJA!!.
Endelea kumdanganya Samia kua Huo sio Uamuzi wa Mwisho, tunaendelea na mazungumzo Mama 🤣