Gerson Msigwa aniombe radhi hadharani kupitia chombo cha habari alichonichafulia jina na Utu wangu

Ushauri Shtaki gazeti na msigwa
 

Kwa maandiko yako naona kama na wewe una shida fulani. Hivi unafikiri kwa nini umefikiriwa ushoga?
 
Nenda Mahakamani ukaoneshe kielelezo chako cha kupinga hilo.
 
Ofisi ya Rais ni takatifu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…