Gerson Msigwa aniombe radhi hadharani kupitia chombo cha habari alichonichafulia jina na Utu wangu

Mbona Unamtetea sana huyu mchicha mwiba? Mwenzako hata hana habari wewe mishipa ya shingo inakutoka. Au ndiyo ndege wafananao huruka pamoja?
Yeyote anaweza kutuhumiwa machafu....

Ukweli wa kinyume na hayo utabaki kwa "mtuhumiwa"....

Ninazungumzia kuitunza heshima na utu wa mwanadamu ijapokuwa tunatofautiana katika mengi tu.....

Mkuu mimi si "dheha" na sijishughulishi na hayo....kama naongopa basi nafsi yangu itabaki ni shuhuda......

Imani ya 2 ya CCM:-

#Kila mtu anastahili heshima ya kutambuliwa na kuthaminiwa utu wake.
 
Huyu jamaa ni AIBU YA TAIFA. Ni bora akakaa kimya kwa sababu Msigwa ndo kashasema
 
Ulistahili kutukanwa zaidi ya pale,unawezaje mtu mwenye akili timamu uamue kuungana na watu wabaya kwako.
Hao CCM ndio walimtumia huyo aliyekutukana na baadae wewe mwenyewe ukalainika labda sijui kwa tamaa ya fedha na madaraka ukaenda kwao huko huko sasa hapo unafikiri watakupa heshima gani zaidi ya kuendelea kukudharirisha na kukuona mjinga tu.
 
Mchango ulioshiba
 
Na tayari watanzania woote wamesikia na wameamini
Sema Mmawia tukubaliane kwamba ile habari ilikuwa sio poa.... ni mojawapo ya habari mbaya mno kuwahi kuandikwa kwa nia ya kudhalilisha utu. Mmiliki wa lile gazeti pamoja na wafanyakazi wake watalaanika. Tatizo Suphian hana ushawishi wowote ndani ya CCM kwahiyo hana cha kufanya. Isitoshe hatua alizochukua ni za kidhaifu mno. Ukisoma vizuri barua yake ni mtu aliyeandika angalau kuwepo na ushahidi kwamba kuna hatua alishawahi chukua.
 
Mfungulie kesi ..Rais afanyaje sasa .... Kama sio shoga kafungue kesi
 
Kama ni Uongo inakuwaje Zitto kama mmoja wa waliokashifiwa hakulalamika kuchafuliwa wasifu wake? Ndugu itakuwa vigumu sana kueleweka. Huna Hoja za kushawishi hadhara ikuelewe akiwemo unae mwandikia.
Ukiacha zitto yule mwingine Maalim ni marehemu tutakosa ushahidi ....kwa ukimya wake tangu 2019 ...atakuwa anafeelwar tu.
 
Na kwa nini wewe ndio huwe reference ya mashoga.....
Na kwanin? Usiite press ujisafishe mwenyewe kwamba wewe siyo SHOGA.
 
Kule twitter alisema hatashtaki maana kashauriwa anyamaze kimya hii habari musiba aliandika kabla Maalim seif hajafariki tena akasema Zitto na Seif wanamgombania Suphiani yaani ni mke wao,muda wote jamaa akakausha kimya, ni ajabu kweli aisee
Alikausha baada ya jamaa kumuona chizi tu Ila hii ya kuthibitishwa na msemaji wa Serikali ndio iliyomuumiza.
 
"Napenda kuleta malalamiko yangu mbele ya ofisi yako takatifu"

...Bila shaka Mkuu wa ofisi takatifu atakuwa Mtakatifu...

NB: Ukitaka kwenda kwa Zitto upitie zana kwa yule Mzee aliyesema "Mheshimiwa Mungu"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…