Gerson Msigwa aniombe radhi hadharani kupitia chombo cha habari alichonichafulia jina na Utu wangu

Nenda mahakamani kadai fidia trilioni kama 100 hivi....na uiombe mahakama kuwe na kanusho kupitia magazeti ya serikali na matangazo TBC yakisema FULANI SIO SHOGA...
Labda anaogopa akienda mahakamani mshitakiwa atataka mwamba apimwe king'amuzi kama kipo sawa sasa hapo ndio balaa litakapokuja maana kesi atashindwa na sisi tutasema kumbe Cyprian alisema kweli

Kama haogopi hayo ushauri wako ni mzuri sana
 
Achana na chama lao tafuta mawakili waelewa wakusaidie uwapeleke mahakamani.

Kwanza kwenye hicho chama hutakaa utimize ndoto yako kwa lugha hii.

Na nikushauri ikiwezekana achana na mambo ya siasa fanya mambo yako. Uwanja walikokupeleka sio kuzuri.

Ndiyo hapo mtu anaingia na geti la mtu ndani bila hodi.
 
Eeeh MUNGU muumba wa vitu vyote NUSURU WATOTO WETU WA KIUME NA WA KIKE PIA..TUNAOMBA NA KUSHUKURU ...AMEEN

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Hili jamaa jinga kweli kweli, yaani halijitambui kiasi cha kudhani kuwa uraia wake unamilikiwa na Hangaya (eti Raia wako). Rais ndiye wa Raia, siyo kinyume chake! Jinga weye!
 
Hili jamaa jinga kweli kweli, yaani halijitambui kiasi cha kudhani kuwa uraia wake unamilikiwa na Hangaya (eti Raia wako). Rais ndiye wa Raia, siyo kinyume chake! Jinga weye!
Mtu anayejitambua hawezi kutumika kinyume cha maumbile.
 
Ubaya zaidi hana ushawishi wowote huko.
 
Pesa ya kulipa hao mawakili wazuri anayo sasa
 
Mhe Gerson Msigwa aliuambia umma wa Tanzania kwamba ilithibitika kuwa ulipelekewa [emoji91] kisawasawa.
 
Pole sana Suphian Juma
Umeandika kwa uchungu sana
Na kama hujuwi/hauna la kufanya
Ungeweza ungelishtaki gazeti hilo
Kwa kukuchafua
Au ukiona mlolongo mkubwa mwachie
Mungu tu

Ova
 
Pole sana Suphian Juma
Umeandika kwa uchungu sana
Na kama hujuwi/hauna la kufanya
Ungeweza ungelishtaki gazeti hilo
Kwa kukuchafua
Au ukiona mlolongo mkubwa mwachie
Mungu tu

Ova
Mzee wa Kinondoni huyo Suphian hakuna kitu anaweza mfanya Msigwa.... kesi yake kwa sasa haina nguvu yoyote na hata barua yake imekaa kidhaifu mno kuashiria huenda kweli kina musiba walikuwa sahihi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…