Gerson Msigwa aniombe radhi hadharani kupitia chombo cha habari alichonichafulia jina na Utu wangu

Ulikuwa wapi siku zote hadi uione hii leo? Mbona ilikuwa inazunguka sana mitandaoni hasa kule Twitter. Akuombe radhi hadharani na akulipe fidia kubwa tu. GANGAMARA kila la heri.

 
Hata jambazi sugu huwezi kumhoji haraka haraka akakili kuwa ni jambazi
Mmawia ktk ubora wako [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Wewe ungekua uko mahakamani unadai chako,sasa unadai uombwe radhi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…