Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,786
Kwa kuwa wewe ni msukure wa BAA VICHAA wala sikushangai....Uvccm imeoza
Endelea kung'atwa na mbu hapo mtaa wa Ufipa..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa kuwa wewe ni msukure wa BAA VICHAA wala sikushangai....Uvccm imeoza
Kutokana na njaa kuwazidia sasa mmeanza kujitangaza shughuli zenuKwa kuwa wewe ni msukure wa BAA VICHAA wala sikushangai....
Endelea kung'atwa na mbu hapo mtaa wa Ufipa..
Babati ndg yangu unajua kumwingilia mtu kinyume na maumbile ni uhayawani aisee,Mimi hata mwanamke siwezi kunfirer sembuse mwanaume mwenzangu?? Yaani sijui wanapata wapi hisia kwa wanaume wenzao aiseeMliokaribu naye nendeni mkapate huduma amewaka mawasiliano hapo
Mkuu ongezea nyama kidogo. Dah kwa marinda yatifuliwaNdiyo tabia ake
Mkuu no zimewekwa hapo, karibu kwa huduma bora kabisa.Mkuu ongezea nyama kidogo. Dah kwa marinda yatifuliwa
Hivi hili siyo la wizara ya elimu kweli? Huyu Mzanzibar alihama nchi toka mwaka 1960 wakati hakujakuwepo bado nchi inayoitwa Tanzania, makuzi yake yote ni Uingereza hivi Tanzania itasema ilichangia nn kwake? Ni sawa na kujisifia kuwa Freddie Mercury ni MtanzaniaAhsante Serikali ya awamu ya 6..View attachment 1967006
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]..wewe jamaa unakanyagia kishenzi aseeKaweka na no za cm ili apigiwe na mtu yoyote anayetaka huduma kwake
Harafu kanichefua alipoandika kwa kujikomba anasema OFISI YAKO TAKATIFU tangu lini Ikulu ikawa TAKATIFU?Wewe ungekua uko mahakamani unadai chako,sasa unadai uombwe radhi basi kweli wewe chapati ya maji
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]fundi wa kukata mauno sioUkiona mtu anajitangaza hivi kwenye jukwaa basi elewa kuwa ni fundi
Balaa tupu mkuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]..wewe jamaa unakanyagia kishenzi asee
Comments zako zote unakanyaga Tu,Ila hii inachekesha sn..kwamba mwamba kaamua kutafuta na fursa kabisa akaweka namba apigiwe na yeyote ahahah
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Hivi ujinga utakutoka lini mkuu?!!Tatizo hawataki kazi ni wavivu
RAIS WANGU SAMIA, MSEMAJI MKUU WA SERIKALI, GERSON MSIGWA ANIOMBE RADHI HADHARANI.
Mheshimiwa Rais wa Tanzania na Mwenyekiti wangu wa Chama cha Mapinduzi,
Awali ya yote naomba nikupe Pole na hongera kwa majukumu mazito unayoendelea kutufanyia kwa weledi na mafanikio makubwa sisi wananchi wako wa Watanzania tangu uingie Ikulu miezi sita sasa. Kwa majina naitwa Suphian Juma Nkuwi, ni Mtanzania Mzaliwa wa Kijiji cha Minyughe, Wilaya ya Ikungi, mkoa wa Singida.
Rais wangu na Mwenyekiti wangu wa Chama cha Mapinduzi Taifa, kwa kuzingatia Ibara ya 12 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 na Katiba ya Chama cha Mapinduzi sehemu ya Kwanza, fungu la 4. Imani (1) Binadamu wote ni sawa (2) kila mtu anastahili heshima ya kutambuliwa na kuthaminiwa utu wake;
Kwa masikitiko makubwa kupitia barua hii ya wazi napenda kuleta malalamiko yangu mbele ya ofisi yako takatifu kwamba Msaidizi wako, Gerson Msigwa ambaye kwa sasa ni Msemaji Mkuu wa Serikali, Septemba 18, 2021 akihojiwa na Mtangazaji katika kituo cha habari cha Star TV () alitamka kwamba habari iliyochapishwa ukurasa wa mbele, Aprili 20, 2019 na gazeti la Tanzanite iliyosomeka kwamba "SHOGA AWACHANGANYA ZITTO, MAALIM SEIF" kwamba ILITHIBITISHWA ndio maana gazeti hilo la ndugu Cyprian Musiba halikuwahi kufungiwa na Serikali.
Rais wangu, ndani ya habari hiyo mwathirika aliyetambulishwa kama 'shoga' kwa majina na picha ni mimi. Na kwa hakika haikuwa habari ya kweli kwani natambua mapenzi ya jinsia moja si tu ni kinyume na sheria zetu za Tanzania bali pia maadili na tamaduni zetu haziruhusu. Na mbaya zaidi gazeti hilo linalofahamika nchini kama 'bingwa' wa kuchafua VIONGOZI wa Chama, Serikali, wanasiasa na Wanaharakati halikuwahi kunitafuta kabla ya kutoa habari hiyo ovu kama alivyodai ndugu Msigwa.
Hivyo, kauli hiyo potofu kutoka kwa Kiongozi Mkubwa kabisa wa Serikali yetu si tu imezua tafrani mtandaoni bali pia hadi naandika barua hii kwako imeendelea kunidhalilisha na kuusigina Utu wangu mbele ya familia yangu, ndugu, jamaa na marafiki zangu na kuniharibia taswira yangu na hata majukumu yangu ya kila siku kama Mtanzania na Mwanasiasa mchanga mwenye ndoto ya kuijenga nchi yake kwa wivu mkubwa.
Kwa kuzingatia ofisi yako ni tegemewa kwa kutoa haki, naomba ndugu Msigwa aniombe radhi hadharani kupitia chombo cha habari alichonichafulia jina na Utu wangu hadharani, ili tu si kufuta kashfa hiyo kwangu bali pia kuondoa tafsiri potovu kwamba Ofisi yako tukufu na hata Chama chetu cha Mapinduzi kimempa nafasi nyeti mtu asiye makini na asiyeona aibu kutamka kauli za uwongo mbele ya umma. Vinginevyo, nitaomba ruhusa ya ofisi yako niendelee kutafuta haki yangu kwa njia zingine ikiwemo njia za kisheria.
Aidha, Rais wangu kabla ya kukuandikia barua hii ya wazi, naomba pia kukujulisha kwamba Octoba 1, 2021 nilishawahi kutuma barua ya malalamiko haya kwako dhidi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia barua pepe ya Ofisi ya Rais Ikulu press@ikulu.go.tz ambapo kwa barua hiyo niliambatanisha kopi ya gazeti la Tanzanite lililonichafua na kipande cha video cha ndugu Gerson Msigwa akibariki kashfa hiyo dhalilishi kupitia Star TV. Ingawa sikupatiwa mrejesho wowote wa barua pepe hiyo hadi naandika barua hii ya wazi kwako.
Natanguliza Samahani kwa usumbufu. Na natumaini ombi langu litafanyiwa kazi mapema. Nakutakia kazi njema Rais wangu na Mwenyekiti wangu wa Chama cha Mapinduzi na Mwenyezi Mungu azidi kukutunza.
Raia wako mwema,
Suphian Juma,
Singida, Tanzania
Octoba 7, 2021.
Email: yessuphian@gmail.com
Phone: 0717027973
View attachment 1966980
Umeonaeeeee?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]fundi wa kukata mauno sio
🤣🤣🤣🤣😀😀😄😄😀😀😀Babati ndg yangu unajua kumwingilia mtu kinyume na maumbile ni uhayawani aisee,Mimi hata mwanamke siwezi kunfirer sembuse mwanaume mwenzangu?? Yaani sijui wanapata wapi hisia kwa wanaume wenzao aisee
Kumbe na wewe ni mteja wa huyo jamaa??[emoji15][emoji15]Kwa kuwa wewe ni msukure wa BAA VICHAA wala sikushangai....
Endelea kung'atwa na mbu hapo mtaa wa Ufipa..
Pole ya nini sasa?Pole mkuu
Mmezoea kupiga mizinga, angalia jamaa ako hapo kaweka na no zake kabisa ajili ya wateja wapya.Hivi ujinga utakutoka lini mkuu?!!
Kwa hiyo UVCCM sote hatufanyi kazi?!!
Unatulisha wewe?!!!