Gerson Msigwa aniombe radhi hadharani kupitia chombo cha habari alichonichafulia jina na Utu wangu

Akutukanae hakuchagulii tusi....

Huyo jamaa umemshuhudia akifanya vitendo vya kishoga?!!!

Una uhakika mimi ni mfanya matendo hayo?!!!
Jumbe ndg yangu Dunia ishaharibika hii watu wanafukuana mnooooo tena bila kificho
 
You sure as hell look like a twinkie dude.
 
Mombasa walishapigwa pin
Kwa kuwa anayesemwa vibaya ni kijana wa CCM umeamua kujiwehusha kana kwamba wewe si mtu makini.......

Endelea kushabikia jambo usilo na yakini nalo.....
 
Aliye andikiwa barua hajajibu, wewe msomaj umejibu kwa kumtukana, unadhan wa JF hapa wanaona mpuuzi ni Nan kati yake na Yeye. Usikimbilie Sana matusi zaidi yanakufunua kwa watu ufaham wako ulivyo
Naona unatetea ushoga
 
Pole sana kwa hizi changamoto unazopitia. Kama kweli unaona umeonewa, basi uhakikishe unapigania haki yako mpaka mwisho.

Ombi langu kwako ni moja tu; Ujitahidi na wewe kupunguza umayai mayai! Mwanaume unatakiwa uwe jasiri. Sasa ona hata kwenye hii picha namna ulivyokaa! Yaani huoneshi kabisa kama una uwezo wa kupambana na huyo Kada mwenzako wa ccm Gerson Msigwa.
 
Ulichagua kukaa kimya
,

Ulikuwa wapi SIKU ZOTE kukanusha?

SI tulishafunga Hilo failing alichokisema msigwa ndicho tulichochukua maana hukujitokeza kumshitaki Wala kukanusha.
 
E
Endelea kupiga mizinga na jamaa ako mkuu hakuna namna lazima watu warudishiwe chenchi zao, hakuna cha bure, bure ni salamu pekee
Endelea kujiaminisha kuwa kila UVCCM anakula kwa kupiga "mizinga"......
 
Aliye andikiwa barua hajajibu, wewe msomaj umejibu kwa kumtukana, unadhan wa JF hapa wanaona mpuuzi ni Nan kati yake na Yeye. Usikimbilie Sana matusi zaidi yanakufunua kwa watu ufaham wako ulivyo
Wewe inakuhusu nini?
 
Babati ndg yangu unajua kumwingilia mtu kinyume na maumbile ni uhayawani aisee,Mimi hata mwanamke siwezi kunfirer sembuse mwanaume mwenzangu?? Yaani sijui wanapata wapi hisia kwa wanaume wenzao aisee
We unafikiri usichoweza wewe ndo kila mtu hawez?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…