Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uzushi huu hapa:
Wapinzani wamechukua na kuviunganisha vibango vinne vya mtandaoni (infographics) vinavyotengenezwa na Ayo TV vyenye taarifa ya idadi ya ajira zitakazotolewa na Serikali kwa nyakati tofauti huku vikionesha mkakanganyiko kuhusu jumla ya watu watakaoajiriwa na Serikali.
- Kibango cha kwanza kina picha ya Hayati Magufuli na maneno yanayosema: TUTATOA AJIRA MPYA MILIONI 8.
- Kibango cha pili kina picha ya Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba na maneno yanayosema AJIRA MILIONI 12.
- Kibango cha tatu kina picha ya Rais Samia na maneno yanayosema: AJIRA MPYA ELFU 40.
- Kibango cha nne kina picha ya Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa na maneno yanayosema AJIRA LAKI 5.
Lengo la wapinzani ni kuvunja imani waliyo nayo vijana (ambao ndio idadi kubwa) kwa Serikali yao ikiwa ni mkakati wa kujiongezea idadi ya kura ifikapo 2025.
Msigwa anena:
Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa ametoa ufafanuzi kuhusu upotofu huo unaonezwa mitandaoni katika kipindi hiki ambapo Tanzania ina uhuru mkubwa wa kujieleza.
Ufafanuzi wake ni huu hapa:
- Kibango cha kwanza kinaelezea ahadi iliyotolewa kwenye Ilani ya Chama cha Mapinduzi ya mwaka 2020-2025 ambapo chama hicho kiliahidi kuzalisha ajira milioni nane katika sekta ya umma na sekta binafsi.
- Kibango cha pili kinaelezea mkakati uliopo kwenye Mpango wa Maendeleo ya Taifa 2021/22-2025/26 ambapo ajira milioni 12 zitakuwa zimezalishwa.
- Kibango cha tatu kinahusu ajira 40,000 zitakazotolewa na Serikali mwaka 2021/2022 ambapo idadi hiyo itaajiriwa katika sekta ya umma.
Tuondoe Hofu:
Kwa hiyo, hakuna mkanganyiko wowote kuhusu takwimu hizo kwa sababu kiongozi anaweza kuzungumzia mambo tofauti. Mfano anaweza kusema viwanda vinne vitazalisha ajira laki 6.
Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mama inapenda kuona vijana wengi wanaajiriwa katika sekta mbalimbali.
Ndio kazidi kujichanganya, kwahio JPM aliahidi ajira 8m kwa umma and binafsi? Duration ni 5yrs? Right? Nchi ni TanzaniaUzushi huu hapa:

Wewe mwenyewe unapotosha Mwigulu alisema kutoka 2015 mpaka 2020 serikali ilizalisha Ajira Mil 12Uzushi huu hapa: