Gerson Msigwa atoa ufafanuzi upotoshaji wa wapinzani kuhusu takwimu za ajira

Mara nyingi kama sio zote huyu bwana akitolea ufafanuzi huwa anaharibu kabisaaaa
 

Mkuu Ngaliwe tafadhali sana sana unapoandika heading ya mada yako basi kama ni jina weka jina kamili kwani kitendo ulichokifanya nusura unipe kesi kwa Peter Simon Msigwa...nashukuru moyo wangu leo umekuwa na subira
 
Ndio kazidi kujichanganya, kwahio JPM aliahidi ajira 8m kwa umma and binafsi? Duration ni 5yrs? Right? Nchi ni Tanzania
Mwigulu nae 12m ajira, duration 5yrs? Right? Nchi ni Tanzania
Mama Samia 40,000 duration 1yr, right? Nchi ni Tanzania
Majaliwa 500,000, duration? Nchi ni Tanzania

Note: Serikali ni moja ikiongozwa na CCM kwa hio duration ya 2020-2025/6

Sasa tuseme JPM na Mwigulu, same duration 5yrs, different numbers yaani 8m kwa 12m? Shida ya kwanza hio, at least wangetofautiana hata kwa laki moja maana Mpango Mkakati wowote lazima uwe drawn from the Major Source.
Pili, Samia 40,000 = 1yr
X. = 5yr
Tafuta thamani ya X
Unapata 40,000×5= 200,000
Ina maana kwa miaka mitano presumably ni kwamba wataajiri 200,000
Kuajiri ndio kutengeneza ajira!

Kwahio ukitoa za JPM za 5yrs ambazo ni 8,000,000- 200,000 = 7,800,000
Yaani sekta binafsi itatengeneza(itaajiri watu 7.5m kwa 5yrs) OK huyo ni JPM vs Samia within 5yrs. Please note that biashara zinafungwa, hakuna miradi mipya wala strong initiatives zozote in place.

Twende kwa ajira za Mwigulu 12,000,000 kwa 6yrs ukigawanya ni kama ajira 2,000,0000 kwa kila mwaka, let's assume kuwa serikali itaajiri 40,000 kwa takwimu za Samia then the remaining 1,960,000 zitazalishwa na sekta binafsi kwa mwaka!!!

Takwimu za Majaliwa can't be computed kwakua hazitaji/au sijaona duration.

Conclusively, hawakujiandaa kusema au kutangaza hizi ajira. Vyovyote vile ilitakiwa kuwe na "Blanket number" ambayo kila mtu atakayeongea atachukua from there! Yaani kama ajira sekta binafsi na govt ni 1,000,000 kwa 5yrs basi wewe tudanganye weeeeee but at the end of the day ukijumlisha kwa hio 5yrs upate 1,000,000 with slightly difference
 
Wewe mwenyewe unapotosha Mwigulu alisema kutoka 2015 mpaka 2020 serikali ilizalisha Ajira Mil 12
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…