PreGE2025 Gerson Msigwa azomewa UDOM. Aambiwa No Reforms No election. Atoa vitisho

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
1. Huu utaratibu wa kumzomea viongozi Wakuu wa Serikali (Katibu Mkuu Gerson Msigwa) mmeutoa wapi?

2. Uongozi wa UDOM tumieni students by-laws. Kudhibiti hao wahuni
Muulize JK alikuja UDSM 2012 akiwa na Mseven cha moto.alikipata. alizomewa vibaya sembuse msigwa muongo muongo.

Kwanza msigwa alienda kufifisha moto wa NRNE baada ya kusikia Chadema wanatia hapo badaka yake moto umemwakia yeye
 
Ndio mana Mna zidi ku worsen mambo kwa kuamini Kuwa kila Jambo linahitaji Nguvu kuwa solved acheni izo mambo hamjifunzi tu uamuzi mbaya mliochukua dhidi ya kanisa la Gwajima?
 
1. Huu utaratibu wa kumzomea viongozi Wakuu wa Serikali (Katibu Mkuu Gerson Msigwa) mmeutoa wapi?

2. Uongozi wa UDOM tumieni students by-laws. Kudhibiti hao wahuni
NO REFORMS, NO ELECTION

Mkiwazuia watu kuonesha hisia zao, mawe yataonesha.
 
1. Huu utaratibu wa kumzomea viongozi Wakuu wa Serikali (Katibu Mkuu Gerson Msigwa) mmeutoa wapi?

2. Uongozi wa UDOM tumieni students by-laws. Kudhibiti hao wahuni
Ni mara ya pili unafungua thread kama hii hii, uzi wa kwanza kabisa ulishawlezewa nn cha kufanyika
Unakaza fuvu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…