Chini ya serikali ya watekaji chochote kinawezekana ingawa hawana kosa loloteVijana waliomzomea Katibu Mkuu Wizara ya Habari Mheshimiwa Gerson Msigwa, Je, waliozomzomea pale UDOM wanaweza kufukuzwa Chuo?
No2HooliganismONcampus
*University by-laws ziheshimiwe na wanachuo. Wachukuliwe hatua stahiki.
View attachment 3360476
Hiii comment ilibid iwe na uzi kabisa mkuuuVijana wanatakiwa waelimishwe zaidi na kujitambua. Vijana waache siasa za kufuata mkumbo pasipo kuelewa mambo yanavyoenda. Vijana wamekuwa wakitumika vibaya na makundi ya watu wanaotaka vitu kwa maslahi yao binafsi. Vijana wengi wa kitanzania hawajui nn wanataka, hawana focus. Matokeo yake ndio hayo. #sisinitanzania
Dawa reform zinazo hitajika baasiHakuna sababu ya kufukuzwa hapo.
Yaani waziri wa fedha anakopa fedha na anakebehi bunge halafu tukae tusiseme???Vijana wanatakiwa waelimishwe zaidi na kujitambua. Vijana waache siasa za kufuata mkumbo pasipo kuelewa mambo yanavyoenda. Vijana wamekuwa wakitumika vibaya na makundi ya watu wanaotaka vitu kwa maslahi yao binafsi. Vijana wengi wa kitanzania hawajui nn wanataka, hawana focus. Matokeo yake ndio hayo. #sisinitanzania
NRNEVijana wanatakiwa waelimishwe zaidi na kujitambua. Vijana waache siasa za kufuata mkumbo pasipo kuelewa mambo yanavyoenda. Vijana wamekuwa wakitumika vibaya na makundi ya watu wanaotaka vitu kwa maslahi yao binafsi. Vijana wengi wa kitanzania hawajui nn wanataka, hawana focus. Matokeo yake ndio hayo. #sisinitanzania
Wewe unajua wanataka nini?Vijana wanatakiwa waelimishwe zaidi na kujitambua. Vijana waache siasa za kufuata mkumbo pasipo kuelewa mambo yanavyoenda. Vijana wamekuwa wakitumika vibaya na makundi ya watu wanaotaka vitu kwa maslahi yao binafsi. Vijana wengi wa kitanzania hawajui nn wanataka, hawana focus. Matokeo yake ndio hayo. #sisinitanzania
utafukuza wangapi Mkuu!Idea NI kuzomea na kupayuka no reform, no election? Fukuza wote hao Kenge
Sina uhakika kama upo sahihi, kwanza chama tawala ndio upeleka siasa mashuleni, vyuoni waache hii tabia, kwani kupeleka siasa huko si lazima kukibalika, matokeo mtaanza kushughulika na watoto wetu, watadhurika tu na nguvu zenu nyingi!Vijana wanatakiwa waelimishwe zaidi na kujitambua. Vijana waache siasa za kufuata mkumbo pasipo kuelewa mambo yanavyoenda. Vijana wamekuwa wakitumika vibaya na makundi ya watu wanaotaka vitu kwa maslahi yao binafsi. Vijana wengi wa kitanzania hawajui nn wanataka, hawana focus. Matokeo yake ndio hayo. #sisinitanzania
Hawana sababu ya kufukuzwaVijana waliomzomea Katibu Mkuu Wizara ya Habari Mheshimiwa Gerson Msigwa, Je, waliozomzomea pale UDOM wanaweza kufukuzwa Chuo?
No2HooliganismONcampus
*University by-laws ziheshimiwe na wanachuo. Wachukuliwe hatua stahiki.
View attachment 3360476
Tulia uone kifuatachoHawana sababu ya kufukuzwa
Waachwe ni ujana
Kwanini mnawaita wasiojulikana?Ndio,ni kikos kazi cha uuaji kinacho report ikulu moja kwa moja.!
Hapo nyuma kabla Gwajima hajaja kuongea na watanzania tulkua tunahs ni watu wasiojulikana but tangu Gwajima aongee vile na ashambuliwe now tushawafahamu…Ni watu wanaripot ikulu moja kwa moja.Kwanini mnawaita wasiojulikana?
Sasa baada ya kujua, umeamuaje?Hapo nyuma kabla Gwajima hajaja kuongea na watanzania tulkua tunahs ni watu wasiojulikana but tangu Gwajima aongee vile na ashambuliwe now tushawafahamu…Ni watu wanaripot ikulu moja kwa moja.
Nimeamua sitoshirik kupiga kura na shughuli zozote za uchaguzvhad hapo mabadiliko na sheria zitakapo rekebishwa!Sasa baada ya kujua, umeamuaje?
Baada ya kususia kupiga kura ndio Mdude, Ben Saanane na Soka wanapatikana sio?Nimeamua sitoshirik kupiga kura na shughuli zozote za uchaguzvhad hapo mabadiliko na sheria zitakapo rekebishwa!