PreGE2025 Gerson Msigwa azomewa UDOM. Aambiwa No Reforms No election. Atoa vitisho

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Usiku wa kuamkia leo kupitia kwa kinachoitwa tamasha la mama, Gerson Msigwa akiwa UDOM amekumbana na zomea zomea hadi kutoa vitisho.

Zomea zomea hiyo ilikuwa akianikizwa na maneno "No reforms No election"

Amepewa za uso, kila alilosema likawa linajibiwa kwa shubiri.
View attachment 3360219
Videos zipo kwenye hii account na hiyo ni screenshot yake.
Huu ni unyumbu video ya kuunga unga ndio ushahidi kuwa kazomewa? Hivi chadomo mnakiwanda cha kuchakata uzushi?
 
Usiku wa kuamkia leo kupitia kwa kinachoitwa tamasha la mama, Gerson Msigwa akiwa UDOM amekumbana na zomea zomea hadi kutoa vitisho.

Zomea zomea hiyo ilikuwa akianikizwa na maneno "No reforms No election"

Amepewa za uso, kila alilosema likawa linajibiwa kwa shubiri.

View attachment 3360322
Sasa hii ndiyo Tanzania ninayoitaka
 
Usiku wa kuamkia leo kupitia kwa kinachoitwa tamasha la mama, Gerson Msigwa akiwa UDOM amekumbana na zomea zomea hadi kutoa vitisho.

Zomea zomea hiyo ilikuwa akianikizwa na maneno "No reforms No election"

Amepewa za uso, kila alilosema likawa linajibiwa kwa shubiri.

View attachment 3360322
Alikwenda kama nani kwa mualiko wa nani . Mtoa mada uwe makini katika kutoa habari
 
Back
Top Bottom