Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 47,397
- 101,204
AmenIn secula securorum
AmenIn secula securorum
Video tuoneUsiku wa kuamkia leo kupitia kwa kinachoitwa tamasha la mama, Gerson Msigwa akiwa UDOM amekumbana na zomea zomea hadi kutoa vitisho.
Zomea zomea hiyo ilikuwa akianikizwa na maneno "No reforms No election"
Amepewa za uso, kila alilosema likawa linajibiwa kwa shubiri.
Naomba uniombee tafadhali, sitaweza kuhudhuria, nawatakia Ibada njema, Mwenyezi MUNGU akawaonekanieHudhuria ibada katika kanisa la Kigango, Parokia au jimbo lolote lililo karibu na wewe ili uweze kuchota neema na baraka za Bwana Wetu Yesu kristu
Leo ni siku ya Pentecost, sisi wakatoliki tunaadhimisha ibada maalumu ya kumpokea Roho Mtakatifu kama tulivyoahidiwa na Bwana na Mwokozi wetu Yesu Kristu kwamba atatuletea msaidizi na roho ya kutuelekeza kuenenda katika njia iliyo ya kweli. Tunawakaribisha Watz wote muungane nasi katika kuienzi siku hii maalumu. Amina
No reform no electionKumeanza kupambazuka
No reforms no election
Uongo ni huu wako. Mimi nimeona kinachosemwa Msigwa ameshangaa piaHuo ni uongo
Waulize babu zako walikua na Imani gani mazee au ujapata hata historia yako maana Babu yangu mimi yupo hai najua dini kaingiaje na historia kanipa kama hauna historia yako utabaki kudanganya watu tu humu ndio maana wanaojua historia zao wapo kimya kuhusu Imani ya mtu yeyote..Mkuu Imani ni hiyo moja tu, nyingine ni copies
Ni kweli na nimeisikiliza.Huo ni uongo
Ebu jiulize hapo!Kwamba Yuko kwenye Tamasha la Mama, halafu waliohudhuria wakamzomea au?
Kwqni hujaona?!Ebu jiulize hapo!
Walienda kufanya nini hao kwenye Tamasha la Mama? Kama walitoka salama, basi wakatambike!Kwqni hujaona?!