Usipuuze propaganda za kipuuzi. Mwenye akili timamu anaweza kupata kitu chenye mantiki kwenye huo upuuzi. Mpuuzi atapuuziaPropaganda za kipuuzi hizi😁
Huu ni unyumbu video ya kuunga unga ndio ushahidi kuwa kazomewa? Hivi chadomo mnakiwanda cha kuchakata uzushi?
Wote wafukuzwe chuo wakasome chademaUsiku wa kuamkia leo kupitia kwa kinachoitwa tamasha la mama, Gerson Msigwa akiwa UDOM amekumbana na zomea zomea hadi kutoa vitisho.
Zomea zomea hiyo ilikuwa akianikizwa na maneno "No reforms No election"
Amepewa za uso, kila alilosema likawa linajibiwa kwa shubiri.
View attachment 3360322
Running out of ideasNo2HooliganismONcampus
Idea NI kuzomea na kupayuka no reform, no election? Fukuza wote hao KengeRunning out of ideas
😆😆😆😆Usiku wa kuamkia leo kupitia kwa kinachoitwa tamasha la mama, Gerson Msigwa akiwa UDOM amekumbana na zomea zomea hadi kutoa vitisho.
Zomea zomea hiyo ilikuwa akianikizwa na maneno "No reforms No election"
Amepewa za uso, kila alilosema likawa linajibiwa kwa shubiri.
View attachment 3360322
No reforms, No electionVijana waliomzomea Katibu Mkuu Msigwa
No2HooliganismONcampus