Weee MburumunduIdea NI kuzomea na kupayuka no reform, no election? Fukuza wote hao Kenge
No reforms no electionVijana waliomzomea Katibu Mkuu Wizara ya Habari Mheshimiwa Gerson Msigwa, Je, waliozomzomea pale UDOM wanaweza kufukuzwa Chuo?
No2HooliganismONcampus
*University by-laws ziheshimiwe na wanachuo. Wachukuliwe hatua stahiki.
Unafukuza kwa kosa gani? Embu fafanuaIdea NI kuzomea na kupayuka no reform, no election? Fukuza wote hao Kenge
No.ER,2025, No.E,2025Mtafukuza wangapi mnadhani?
Tulia uone kaziUnafukuza kwa kosa gani? Embu fafanua
Kweli kabisa mkuu, Simba, yanga na kubeti au soka kwa ujumla inatumika sana kuwapumbaza vijana.Halafu alivyo mjinga eti anazuga kwa kupenyezea habari za Derby.
Huu pia ni uthibitisho namna Serikali inatumia timu za Kariakoo kufanya propaganda za kuwatoa watu kwenye mstari wasi focus na mambo muhimu.
Somehow namuelewa Lema.
Ni kawaida kupata vitu vya kijinga kutoka kwa wana CCM.Huu uzi ni kama wa kijinga hivi 🐼
Msigwa mwenyewe hakumind wala nini
Waachaje siasa wakati ccm ina matawi mpaka vyuo?Vijana wanatakiwa waelimishwe zaidi na kujitambua. Vijana waache siasa za kufuata mkumbo pasipo kuelewa mambo yanavyoenda. Vijana wamekuwa wakitumika vibaya na makundi ya watu wanaotaka vitu kwa maslahi yao binafsi. Vijana wengi wa kitanzania hawajui nn wanataka, hawana focus. Matokeo yake ndio hayo. #sisinitanzania
Vijana waliomzomea Katibu Mkuu Wizara ya Habari Mheshimiwa Gerson Msigwa, Je, waliozomzomea pale UDOM wanaweza kufukuzwa Chuo?
No2HooliganismONcampus
*University by-laws ziheshimiwe na wanachuo. Wachukuliwe hatua stahiki.
Kenge mamakoIdea NI kuzomea na kupayuka no reform, no election? Fukuza wote hao Kenge
Hamna kazi yoyote na hatopatikana yoyote. mshazies kutumia nguvu si akiliTulia uone kazi
Chuo hakina muda mchafu na kamat za hovyo, mbona uvccm wakipita vyuon hamsemi?Paundwe kamati. Waliozomea wapatikane wakiwa hai
Watakuja kukupa mrejesho. Mnataka kufanya Vyuo vikuu kambi za wahuni? Kulikua na sababu ya kumzomea Katibu Mkuu wa Wizara?Hamna kazi yoyote na hatopatikana yoyote. mshazies kutumia nguvu si akili
Alijikaza kisabuni "kweri kweri" , nyuma ya pazia lazima wafanye retaliation hiyo ni jadi ya CCMHuu uzi ni kama wa kijinga hivi 🐼
Msigwa mwenyewe hakumind wala nini