Veteran Sailor
JF-Expert Member
- May 28, 2025
- 2,042
- 4,416
Time will tell...
Wewe ndio inawezekana hujui nini wanataka, ila wao Vijana wanajua nini wanataka.Vijana wanatakiwa waelimishwe zaidi na kujitambua. Vijana waache siasa za kufuata mkumbo pasipo kuelewa mambo yanavyoenda. Vijana wamekuwa wakitumika vibaya na makundi ya watu wanaotaka vitu kwa maslahi yao binafsi. Vijana wengi wa kitanzania hawajui nn wanataka, hawana focus. Matokeo yake ndio hayo. #sisinitanzania
Walimzomea akiwa kazini au wote walikua wamelewa kwenye kumbi za starehe? Ilikua shughuli ya kiserikali au wamekutana viwanja?Vijana waliomzomea Katibu Mkuu Wizara ya Habari Mheshimiwa Gerson Msigwa, Je, waliozomzomea pale UDOM wanaweza kufukuzwa Chuo?
No2HooliganismONcampus
*University by-laws ziheshimiwe na wanachuo. Wachukuliwe hatua stahiki.
Kesi ya uhaini itawafaa zaidiAcha na mimi niwe mjinga leo, "hao wanafunzi wanatakiwa kufukuzwa wote na wapelekwe mahakamani wafunguliwe kesi ya kutapeli serikali kupitia heslb"
Mijinga kweli hiyo! Iachwe tu na ujinga wao.Vijana wanatakiwa waelimishwe zaidi na kujitambua. Vijana waache siasa za kufuata mkumbo pasipo kuelewa mambo yanavyoenda. Vijana wamekuwa wakitumika vibaya na makundi ya watu wanaotaka vitu kwa maslahi yao binafsi. Vijana wengi wa kitanzania hawajui nn wanataka, hawana focus. Matokeo yake ndio hayo. #sisinitanzania
Acha kupost ujinga. Na kama hizi ndiyo akili zako please leave this platform. Wafukuzwe kwa kosa lipi?Vijana waliomzomea Katibu Mkuu Wizara ya Habari Mheshimiwa Gerson Msigwa, Je, waliozomzomea pale UDOM wanaweza kufukuzwa Chuo?
No2HooliganismONcampus
*University by-laws ziheshimiwe na wanachuo. Wachukuliwe hatua stahiki.
View attachment 3360476
Nchi aina uhuruVijana waliomzomea Katibu Mkuu Wizara ya Habari Mheshimiwa Gerson Msigwa, Je, waliozomzomea pale UDOM wanaweza kufukuzwa Chuo?
No2HooliganismONcampus
*University by-laws ziheshimiwe na wanachuo. Wachukuliwe hatua stahiki.
View attachment 3360476
Mbona tunasikia sauti ya mtu mmoja halafu wewe unatumia wingi?Vijana waliomzomea Katibu Mkuu Wizara ya Habari Mheshimiwa Gerson Msigwa, Jealiozomzomea pale UDOM wanaweza kufukuzwa Chuo?
No2HooliganismONcampus
*University by-laws ziheshimiwe na wanachuo. Wachukuliwe hatua stahiki.
View attachment 3360476
No reform No electionMbona tunasikia sauti ya mtu mmoja halafu wewe unatumia wingi?
sisi 2012 tulimzomea JK UD na hakuna alichofanyaVijana waliomzomea Katibu Mkuu Wizara ya Habari Mheshimiwa Gerson Msigwa, Je, waliozomzomea pale UDOM wanaweza kufukuzwa Chuo?
No2HooliganismONcampus
*University by-laws ziheshimiwe na wanachuo. Wachukuliwe hatua stahiki.
View attachment 3360476
NO REFORM NO ELECTIONVijana wanatakiwa waelimishwe zaidi na kujitambua. Vijana waache siasa za kufuata mkumbo pasipo kuelewa mambo yanavyoenda. Vijana wamekuwa wakitumika vibaya na makundi ya watu wanaotaka vitu kwa maslahi yao binafsi. Vijana wengi wa kitanzania hawajui nn wanataka, hawana focus. Matokeo yake ndio hayo. #sisinitanzania