Gerson Msigwa: Filamu ya Royal Tour hazikutumika fedha za Watanzania

"Sisi malengo yetu kwenye filamu hii ni kuifikia dunia na kuiambia fursa zetu za utalii na uwekezaji na biashara..."

"Malengo hayakufikiwa"

"...Tutapata watalii ili tupate fedha za kujenga shule, vituo vya afya na barabara na mahitaji mengine..."

"Mviko-19 (covid-19)uliharibu mchakato mzima wa azma hii"

"...Hazikutumika fedha za Watanzania"

"Wahusika hawakuweka bayana risiti husika,aidha kwa makusudi au kwa kutokuwa na weledi wa kuambatanisha, na tumegundua sekretarieti iliyotumika haikuhusika na mchakato wa kuwasilisha ripoti hiyo"

...yana fanafana na majibu ya CAG kwa mwaka wa fedha 2022-2023?


Nakupenda Tanzania.
 
Mpaka wageni watupatie fedha za kutangaza utalii wetu?!
 
Baada ya kumalizika kwa zoezi zima...

Malengo ya sirikali
Malengo ya Wanafilamu


...na Malengo sintofahamu, za kwangu! (ndizo akili zangu za kuchanganya, kama sio kujichanganya) basi uwezekano wa malengo thabiti na uhalilishaji wa 'Wamasai waondoke' utakuwa Uhalali.

Aluta Continua
 

Kuna tofauti gani fedha ikitoka NSSF na ikitoka Treasury? Zinazotoka Hazina ni za serikali na zinazoka NSSF ni za serikali pia!!!
 
Watanzania sio wa kushabikia kila kitu kinacholetwa mbele yetu
 
Hizo fedha ni za Watanzania hata kama walipewa bure bado ni za Watanzania walipewa kwa niaba ya Watanzania. Na huyo Blair anatafuta nini kama sio kufukuzia hizo fedha
 
Hapa anatangazwa Samia au utalii ? hizo sekunde kadhaa wangeweka clip ya Saanane Island au lile jiwe linalocheza nadhani ingekuwa value for money

Anyway different strokes for different folks..., binafsi hapo nahisi tour guide aliyebobea could have done a better job ya kuniambia that is a female lion....
 
Hiyo movie ndo chanzo Cha Wamasai wa Loliondo kufukuzwa kwenye makazi yao ya asili. Hakika laana ya wanyonge wale wa Loliondo itawatafuna kizazi hadi kizazi!
Finito!
 
Semaji kama semaji.

Nae kaanza uchawa. Hadi wanaomwamini nao wamugeuke. Apunguze mbwembwe.

Rais hawezi tembea mikoa yote hiyo kwa hela za waandaa filamu.
 
For. Instance. Hizo gharama zinge tumika. Kujenga na kukarabati. Miundombinu ya mikoani hasa. Mikoa ya pembezoni ingeleta. Maana kubwa sana...
Miundombinu ya hospitali ,. Shule barabara






Still I remember the late jpm aseeeeee. Majuzi nilienda kwenye ule hospital pale dodoma iliyojengwa Kwa. Gharama za independence day celebration , mwaka uleeee Dah aseeeeeeee.

Hospital hiyo. Itabaki. Good. Sign aseeee for him...



Rest in peace JPM



JF MODERATORS. MKIFUTA UZI HUU AU MKAUNGA , NTAJUA KWELI NYINYI NI TEAM KUCHAFUA LEGACY YA MAGUFULI
 


Hawa jamaa siku hizi ndio kazi yao kuu wanayoifanya,ukiweka tu thread kuhusu mazuri ya JPM,hawachelewi kufuta au kuunganisha,nimeshawadharau tayari
 
Good!!! Akijibu tujulishane!
 

Taja mashirika yaliyochangia Royal Tour.​

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…