Gerson Msigwa, haiwezekani kila mmoja akawa Mlinzi wa SGR, Serikali iwajibike

Gerson Msigwa, haiwezekani kila mmoja akawa Mlinzi wa SGR, Serikali iwajibike

Megalodon

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
3,534
Reaction score
7,866
Moja ya best investment ya JPM na atakumbukwa kwa hili ni SGR. God bless you John, Rais Mtendaji.

Tupo kwenye Science na Technology ,digital transformation, artificial intelligence, machine learning, satellite, Blockchain, internet of things, automotous drones, robotics and automations, clouding , Ring stick up cam wired for zones detections , AI Powered security zones Camera etc etc …

Why tunalinda SGR kwa macho na tochi manually ?

Billions investment iliyowekwa hapo tunashindwa kuweka hizi technology kwa ajili ya ku maximize visibility na security kwenye kila NODES na Channels za SGR ! ??!hivi what is wrong na ngozi nyeusi….?

Kuweni SMART and Proactive, ipo siku watakuja kuachanisha hizo channels za chini, with that speed, maafa yatakuwa ni makubwa, hamtotoa miili bali ni vipande vya vyama. It is very serious issue, watanzania ni watu wa dili fake kama ilivyo kwa viongozi wao.

GERSON acha kulia lia kwenye media, no body cares na ulinzi wa SGR mainly ni wenu. Mnalipwa mishahara mikubwa than nurses , teachers then why akili zenu zina circulate kwenye business as usual , you guys are not proactive, dunia ipo mbali sana… kila kitu unakiona ukiwa umekaa kwenye MEZA with big screen na sio kutafutana kwa tochi mannually….

Hakuna any security detection kwenye miundombinu ya SGR, mnasubiri tatizo litokee , kila siku mnalalamika
Hujuma hujuma, nyie ni serikali ? mnalalamika nini? Hamshauri njia
Sahihi za kulinda miundombinu kwa kutumia advanced technology….. chochote kikikatiza kwenye njia za SGR ….. mnapata signals….with visualisation….. ndio dunia ipo huko.

Nyie mnazunguka na patrol za polisi bila ya kujua target…. Ni kupoteza muda

Nakushauri tumia muda wako kuishauri Serikali kuwa pamoja na mambo mengine , ni lazima SERIKALI itumie advanced technology to protect INFRASTRUCTURES za SGR mlizoachiwa na JPM, sambamba na ku maximize visualisation Security za SGR channels, nodes na human or animals detection kwenye maeneo ambayo channels zimepita

Ni kweli kila mtu ni intelligence ya nchi. But hamjaweka huo uhusiano kati ya raia na mamlaka : pia fanyeni kwanza wajibu wenu ndio muombe msaada kwa raia, otherwise ni kukimbia responsibility zenu. Shame !


Dr Megalodon,
WHO Regional Office,
Rue, 52 Ottawa,
🇨🇦
 
Yaani nilipe Kodi halafu nilinde na reli ?
 
Hawa watu Huwa siwaelewi kabisa ningekuwa kiongozi wa nchi ningewaweka pembeni woote wasio weza kufikiria vzr
 
Back
Top Bottom