mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 31,415
- 38,761
Wewe akili huna mtu wa mashambani, tuliopo mjini tunawajuwa hao ndio wanawaonga watoto wadogo mpaka magari vumbi la congo likiwakolea.
au sio.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe akili huna mtu wa mashambani, tuliopo mjini tunawajuwa hao ndio wanawaonga watoto wadogo mpaka magari vumbi la congo likiwakolea.
Udikteta wa kijingaNa asiposikia njaa na wasaidizi hawali chakula ?
Ohoo kumbe lengo ni kuonyesha mama analala sana au?lengo sio wewe uone ajabu mkuu.
Unajua tatizo la kukosa usingizi linasababishwa na nini au matokeo yake nini? Nakuachia wewe ufanye ka utafit kadogo juu ya akili yake. Sasa wewe jisifie ujinga kama yeye uone litakalo kupata.haujaelewa
umechagua kutoelewa!!!
jinga
kasema alikuwa msumbufu kama yeye hana usingizi, basi wote mtakesha, wako watu kama hao mmoja wapo mimi muda huu naandika ujumbe huu wewe unakoroma, sasa ungekuwa msigwa wangu nishakupigia simu
Qmkiambiwa alikuwa DIKTETA muwe mnaitika Tawile. Hizo ni Tabia za kidikteta.Msemaji Mkuu wa Serikali bwana Gerson Msigwa amefichua siri kuwa Hayati Rais Magufuli alikuwa analala anapokuwa na usingizi tu na ikitokea hana usingizi usiku mzima basi na wasaidizi wake wote hamtalala usiku huo.
Gerson Msigwa alikuwa Msemaji wa Ikulu kwenye Serikali ya awamu ya tano.View attachment 1981189
kuna siku mtasema hata asipoenda chooni na nyie hamkuendaMsemaji Mkuu wa Serikali bwana Gerson Msigwa amefichua siri kuwa Hayati Rais Magufuli alikuwa analala anapokuwa na usingizi tu na ikitokea hana usingizi usiku mzima basi na wasaidizi wake wote hamtalala usiku huo.
Gerson Msigwa alikuwa Msemaji wa Ikulu kwenye Serikali ya awamu ya tano.View attachment 1981189
Aisee!Madikteta wote Duniani huwa hawalali kwasababu ya Damu na Zuluma dhidi ya Wanaowatawala.
User mpya ya kutukaniaDalili ya kwanza kutokuwa sawa kiafya ya akili ni Insomnia(Kukosa usingizi).
Tunaenjoy pesa za kodi zetu, ujinga kama huu kawaeleze washamba na wapumbavu wenzako kule Kolomije.Unainjoi flyover na ndege zake tu kenge wewe
Ndege zake!! Are you serious, in kodi za wananchi hizo acha uzuzuUnainjoi flyover na ndege zake tu kenge wewe
[emoji23][emoji23][emoji23]Kwa hiyo alikuwa hajui faida ya kulala?
Kuna wakati mtu anaweza kufikiri anamsifia mtu kumbe ana muanika kuwa hakuwa na mipango na hajui kanuni za afya.
Ukikosa kupumzika hata dish lazima licheze, jee ndio maana lilicheza?
Hamna mwanasiasa yoyote atakayeweza kumchafua Magufuli.
Kazi za Magufuli zinaonekana kwa macho ila kazi za wachafuzi hamna hata moja inayoonekana wamekalia maneno matupu tu.
Kwa hiyo huyo Zito amepoteza muda wake na heshima yake kwa jamii.