Gerson Msigwa huko ulipo unapata usingizi? Bado mil 7 CHADEMA wafikishe mil 245.

Gerson Msigwa huko ulipo unapata usingizi? Bado mil 7 CHADEMA wafikishe mil 245.

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
7,748
Reaction score
10,288
Alizuia wafanyabiashara wasiichangie CHADEMAšŸ‘‡

Soma Msigwa: Inasikitisha sana, yaani wanahamasisha Vijana watoe pesa walizonazo wawapatie pesa wao waweke mifukoni mwao

1785075663371.png
 
Kuna kitu CCM kesho mtasikia mwaipopo anakuja habari.nipo ikulu hapa wanapanga kuharibu jambo la chadema
 
Wasije wakaifanyia zengwe account iliyohifadhi fedha hizo.
Maana hawa miungu watu "wapuus" sana.
 
Huyo anaandaa shairi la kuwajibu Common wealth.😁

"...huwezi kuendesha chama kwa tonetone...."

Sikumbuki aliyesema hayo maneno.
 
Back
Top Bottom