Idugunde JF-Expert Member Joined May 21, 2020 Posts 7,748 Reaction score 10,288 Jul 26, 2026 #1 Alizuia wafanyabiashara wasiichangie CHADEMA👇 Soma Msigwa: Inasikitisha sana, yaani wanahamasisha Vijana watoe pesa walizonazo wawapatie pesa wao waweke mifukoni mwao
Alizuia wafanyabiashara wasiichangie CHADEMA👇 Soma Msigwa: Inasikitisha sana, yaani wanahamasisha Vijana watoe pesa walizonazo wawapatie pesa wao waweke mifukoni mwao
Superbug JF-Expert Member Joined Jan 31, 2018 Posts 16,583 Reaction score 42,992 Jul 26, 2026 #2 Chadema ni dude kubwa.
AI BRAINFULL JF-Expert Member Joined Oct 31, 2019 Posts 2,122 Reaction score 5,319 Jul 26, 2026 #3 Apo kumbi zote apo mjini zitazuiwa kuwakodishia CDM
Superbug JF-Expert Member Joined Jan 31, 2018 Posts 16,583 Reaction score 42,992 Jul 26, 2026 #4 Lizo mkristu said: Apo kumbi zote apo mjini zitazuiwa kuwakodishia CDM Click to expand... Mambo haya ndio yanafanya chadema ipendwe!
Lizo mkristu said: Apo kumbi zote apo mjini zitazuiwa kuwakodishia CDM Click to expand... Mambo haya ndio yanafanya chadema ipendwe!
Fbn JF-Expert Member Joined Jul 31, 2016 Posts 15,749 Reaction score 37,420 Jul 26, 2026 #5 Kuna kitu CCM kesho mtasikia mwaipopo anakuja habari.nipo ikulu hapa wanapanga kuharibu jambo la chadema
Kuna kitu CCM kesho mtasikia mwaipopo anakuja habari.nipo ikulu hapa wanapanga kuharibu jambo la chadema
kawombe JF-Expert Member Joined Mar 26, 2015 Posts 18,180 Reaction score 22,280 Jul 26, 2026 #6 Ngoja nikaongeze Dau. Mm na familia yangu pamoja na ukoo wangu wooote. Tunachangia Kazi ni kipimo cha utu
Ngoja nikaongeze Dau. Mm na familia yangu pamoja na ukoo wangu wooote. Tunachangia Kazi ni kipimo cha utu
Panctuality JF-Expert Member Joined Jun 11, 2019 Posts 1,160 Reaction score 1,748 Jul 26, 2026 #7 Wasije wakaifanyia zengwe account iliyohifadhi fedha hizo. Maana hawa miungu watu "wapuus" sana.
Karne JF-Expert Member Joined Jun 13, 2016 Posts 11,394 Reaction score 21,391 Jul 26, 2026 #8 Huyo anaandaa shairi la kuwajibu Common wealth.😁 "...huwezi kuendesha chama kwa tonetone...." Sikumbuki aliyesema hayo maneno.
Huyo anaandaa shairi la kuwajibu Common wealth.😁 "...huwezi kuendesha chama kwa tonetone...." Sikumbuki aliyesema hayo maneno.