Nahisi kuna uzezeta mkuu, upole haupo hivi.Hivi ni sisi tumeumbwa wapole au ni mazezeta?
Atuambie na burning rate ikoje."Kumekuwa na malalamiko ya vifurushi vimepanda, lakini niwaambie sisi ni kati ya nchi 5 Afrika zenye gharama za chini za bando, ziko baadhi ya nchi za Ulaya ambazo gharama zake ni kubwa, ninafahamu iko nchi ambayo unanunua GB 1 kwa Dola 15"
Sawa na uchumi wao ukoje? Unaweza kukuta kima cha chini mshahara ni TZS milioni tatu sasa kwa nini ashindwe kununua kwa hiyo dola 15 (sawa na TZS 36,000)??"Kumekuwa na malalamiko ya vifurushi vimepanda, lakini niwaambie sisi ni kati ya nchi 5 Afrika zenye gharama za chini za bando, ziko baadhi ya nchi za Ulaya ambazo gharama zake ni kubwa, ninafahamu iko nchi ambayo unanunua GB 1 kwa Dola 15"
Nahisi kuna uzezeta mkuu, upole haupo hivi.
Yani kama zama hizi zingekuwa ni zile za ukoloni, basi tungefungwa minyororo mpaka mwisho wa nyakati. Uhuru tungeusikia kwa wenzetu.
Hawa jamaa sijui wanatuchukuliaje?