Gerson Msigwa: Iko nchi Ulaya GB1 unanunua kwa Dola 15

Gerson Msigwa: Iko nchi Ulaya GB1 unanunua kwa Dola 15

"Kumekuwa na malalamiko ya vifurushi vimepanda, lakini niwaambie sisi ni kati ya nchi 5 Afrika zenye gharama za chini za bando, ziko baadhi ya nchi za Ulaya ambazo gharama zake ni kubwa, ninafahamu iko nchi ambayo unanunua GB 1 kwa Dola 15"
Atuambie na burning rate ikoje.
 
"Kumekuwa na malalamiko ya vifurushi vimepanda, lakini niwaambie sisi ni kati ya nchi 5 Afrika zenye gharama za chini za bando, ziko baadhi ya nchi za Ulaya ambazo gharama zake ni kubwa, ninafahamu iko nchi ambayo unanunua GB 1 kwa Dola 15"
Sawa na uchumi wao ukoje? Unaweza kukuta kima cha chini mshahara ni TZS milioni tatu sasa kwa nini ashindwe kununua kwa hiyo dola 15 (sawa na TZS 36,000)??
 
Nahisi kuna uzezeta mkuu, upole haupo hivi.
Yani kama zama hizi zingekuwa ni zile za ukoloni, basi tungefungwa minyororo mpaka mwisho wa nyakati. Uhuru tungeusikia kwa wenzetu.

Inasikitisha sana
Na ule utumwa ndio umetufanya tuwe hivi mpaka leo

Ukiangalia mtu mweusi kila mahali ana shida fulani
Na adui ni mwenzetu tu
Watu wamekazana ooh ipo siku, ila sidhani kama tumejikomboa
 
Naumia sana kuona kiongozi harafu anakua na akili kama sio kiongozi wa Nchi na wananchi wanategemea matamko yao yenye mashiko ili wawe na amani hata kulipa kodi..kwa akili hizo za msigwa tupo mbali mno kuhusu swala la maendeleo tupo uelekeo tofauti na hiyo ishu...
 
Kwamba
1a4899c36a07b83291945389aec8df2d.jpg
 
Jamani mm nimenukuu Sasa naliwalisilisha kwa wale wote ambao wamepata bahati ya kuishi au kutembea nje na Tanzania watuambie kuwa ni kweli maana Hawa watu huwa wanaanza hivihivi
Screenshot_20210829-123038.jpg
 
Back
Top Bottom