Gerson Msigwa is typing...........

Gerson Msigwa is typing...........

Mr Mose

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2016
Posts
370
Reaction score
528
Natamani kumuona Gerson msigwa anatype taarifa kwa umma kuhusu kutenguliwa kwa uteuzi wa mkuu wa mkoa flani anaitwa makondakta[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Itatusaidia nini kama taifa?
Mabifu yao sinufaiki nayo kwa lolote sio Makonda sio Gwajima wote wapuuzi tu
 
Natamani kumuona Gerson msigwa anatype taarifa kwa umma kuhusu kutenguliwa kwa uteuzi wa mkuu wa mkoa flani anaitwa makondakta[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Utasubiri sana umemsikia mkulu lkn?
 
Natamani kumuona Gerson msigwa anatype taarifa kwa umma kuhusu kutenguliwa kwa uteuzi wa mkuu wa mkoa flani anaitwa makondakta[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Mkuu kasema acha udaku wa mitandao kapige kazi, hii haikusaidii nauli ya kwenda mjini.

Undhani yeye hapendi kibarua chake.[emoji6] [emoji6] [emoji6]
 
kumbe mnaowaza kwa kutumia makalio mpo wengu....hizi tabia za kike hizi mtaonewa hadi mkome.
IMG-20170320-WA0018.jpg
 
Natamani kumuona Gerson msigwa anatype taarifa kwa umma kuhusu kutenguliwa kwa uteuzi wa mkuu wa mkoa flani anaitwa makondakta[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Msigwa ni typist.
Hadi afanyiwe dictation na mkulu.
Kitulize tu mambo ya bashite mbeba binduki bado sana [emoji2] [emoji2]
 
Back
Top Bottom