Gerson Msigwa kama ishu ni kuongeza ufanisi wa kupitisha tani elfu 58 ni lazima mwarabu awekeze? Sisi kama taifa hatuwezi kuboresha?

Gerson Msigwa kama ishu ni kuongeza ufanisi wa kupitisha tani elfu 58 ni lazima mwarabu awekeze? Sisi kama taifa hatuwezi kuboresha?

Ni nini maana ya kusaini kwanza mkataba ndio ujadiliwe ? Leo ni tar 10 /6/2023 tusubiri wale wawakirishi Bungeni wataamua au wataboresha nini ?
 
Acha upumbavu. Sisi hatuwezi kuwekeza.mitambo na kuwapa utalaamu watanzania?
View attachment 2652081
Unauliza swali lile lile la miaka zaidi ya 60 Sasa..

Sasa Kwa miaka zaidi ya 60 Sasa Kuna nini Cha maana kimefangika hapo bandarini? Huo uboreshaji umeanza Leo?

Hivi inawezekana watu hamjui vizuri, sehemu kama.bandari ambapo Kuna hela ikiwa chini ya Umma haitakaa iwe na Ufanisi milele maana inakuwa ni Chimbo la vigogo na Watoto wao..

Harafu nani anaweza mpress mtoto wa mkubwa? Unaanzaje labda na huo ujasiri unautoa wapi?

Ikiwa sekta binafsi kwanza hawana mda wa kuajiri Kwa kuangalia Majina ya watu na kukufire hakuna vikao Wala kamati..

Mwisho kwani shida ni Kwa sababu anaetaka kuweka mzigo ni mwarabu au Kuna jingine? Angekuwa mchina au mzungu ingekuaje?
 
Kwa uwezo gani?!.
P
Kwa uwezo ule ule tulioweza kuwekeza 1T kuongeza kina na gateway...hao waarabu wangekua na akili km hizi zenu mpaka kesho wangekua bado jangwani wanaishi kwenye Tent...for some of us tunaofanya kazi zinazo husu raia kutoka mataifa mbali tofauti yetu na wao ni mentality.
Once a Slave always a Slave...its a mental thing ambayo ipo embeded kwenye DNA ya Mwafrika.
and to be honest nachukizwa sana na mitanzania inayohisi haiwezi kitu...Mungu katujalia rasilimani zote, tuna ubongo, tuna mikono na miguu miwili km wao why tushindwe...
infiriority complex, Uvivu na kupenda miteremko ndo vimetufikisha hapa...
 
Umemjibu vyema.
 
Kuendesha Bandari ndiyo vitu ambayo hatuwezi kufanya? yaani miaka 62 ya uhuru hatuwezi kuwa na watu miongoni mwetu kuiongoza Bandari kwa ufanisi? Sasa huo uhuru ulikuwa na maana gani kama mpaka sasa Bandari tu inakushinda, hiyo nchi si itakuwa balaa.
Mimi nafikiri kuna tatizo la uongozi kuanzia juu hadi chini kabisa na hili lisiwe ndiyo kigezo ya kuuza mali zetu kwa waarabu.
 
Back
Top Bottom