Gerson Msigwa: Kinachoendelea mitandaoni kuhusu "No Reforms, No Election" ni UPUUZI

Inatakiwa hii kelele ya NRNE iwe kubwa zaidi ya hii. Na inatakiwa tuanza kuprint karatasi nyingi za NRNE na kuanza kusambazwa mitaani, masokoni, mashuleni, kwenye nyumba za ibada, kwenye kumbi za starehe nk
 
Wanakera sana na hiyo no reform, hii jeuri ya reform tunaiona mtandaoni tu ngoja oct kama utaona mtu anaweza kushindana na serikali.
 
Viongozi wanajisahau sana yani wanaona wapo madarakani kwa ajili yao wenyewe ,, ndio maana wana uhuru wa kubeza hitaji la wananchi walio wapa dhamana
 
Inatakiwa hii kelele ya NRNE iwe kubwa zaidi ya hii. Na inatakiwa tuanza kuprint karatasi nyingi za NRNE na kuanza kusambazwa mitaani, masokoni, mashuleni, kwenye nyumba za ibada, kwenye kumbi za starehe nk

Tuanze, wewe na nani? Chadema wenzio? Bora tulia ulee familia, otherwise yatakayokukuta usije ukalia humu
 
 

Attachments

  • FB_IMG_1749139137988.jpg
    34.5 KB · Views: 18
Tuanze, wewe na nani? Chadema wenzio? Bora tulia ulee familia, otherwise yatakayokukuta usije ukalia humu
Zama hizi sio za kutosha watu kenge wewe we mwenyewe huu mwaka huumalizi utakua umeshakufa no reform No election
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…